Je unajua faida ya gugumaji ?
Gugumaji imelaumiwa kwa kuwanyima wavuvi kitega uchumi wao lakini bwana mmoja sasa anajikimu maisha yake kutokana nayo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
MRADI WA KUDHIBITI GUGUMAJI ZIWA VICTORIA WATAMBULISHWA CHATO
Na Richard Bagolele
Mradi wa kutibiti gugumaji kanda ya ziwa chini ya ufadhili wa wa mradi wa hifadhi ya mazingira ya ziwa Viktoria awamu ya pili (LVEM II) umetambulishwa rasmi wilayani Chato.
Akiongea wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo yaliyofanyika kwennye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mratibu wa mafunzo hayo Bw. Emanuel Kitabo amesema lengo la kutambulisha mradi huo kwa wadau mbalimbali wa Chato ni kuhifadhi na kutunza mazingira ya ziwa Victoria vikiwemo vyanzo...
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Je, unajua jinsi ya kuwalea vijana? -1
Je, wewe au ndugu zako mnamudu kuishi na vijana wenu kwa maelewano mazuri? Kama hapana ni kwa sababu gani? Je, unafikiri ni nani mwenye makosa? Ni vijana au wazazi?
11 years ago
Mwananchi24 Aug
Je, unajua kinachomfanya mwanaume apende ?
Je, wewe kama mwanaume, unajua kinachokufanya upende? Kitu gani hukufanya umpende mwanamke mmoja na usimpende mwingine? Je, umewahi kustajabu kwa nini ndugu yako au rafiki yako anampenda mwanamke fulani ambaye wewe unaona hana mvuto wowote unaomfanya astahili kupendwa?
9 years ago
Mwananchi06 Dec
SAIKOLOJIA : Je, unajua maana ya akili?
Siku moja niliwakuta walimu watatu wakibishana kuhusu uwezo wa wanafunzi wao. Mmoja alisema John ana akili zaidi kuliko Ali.
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Je, unajua jinsi ya kuwalea vijana? -2
Wiki iliyopita tuliwaletea sehemu ya kwanza ya jinsi ya kuwalea vijana, leo tunaendelea ambapo tutakamilisha mada hiyo. Endelea...
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
Je unajua kwamba Samaki hasahau?
Wanasayansi wamegundua kwamba, baadhi ya Samaki wanaweza kuhifadhi taarifa kuhusu mazingira yao
11 years ago
Michuzi
UNAJUA ASILI YA JINA IRINGA?

10 years ago
StarTV26 Aug
Unajua kwanini Lowassa aonywa na Polisi?
JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemuonya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, kuwa staili ya kampeni aliyoianzisha na kutembelea maeneo mbalimbali katika ziara zisizo rasmi, inahatarisha usalama wa raia na mali zao, hivyo iachwe.
Onyo hilo limewagusa pia wagombea wa vyama vya siasa katika nafasi mbalimbali hasa urais, ikielezwa kuwa, katika ziara hizo hujitokeza watu wengi, ambapo pia wahalifu wanaweza kutumia mwanya huo kufanya vitendo vya uhalifu.
Akizungumza...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-May-2025 in Tanzania