Je, walaji wa nguruwe wana hofu?
Kumekuwa na mjadala kuhusu ulaji wa nyama ya nguruwe katika maeneo mengi duniani kwa madai kuwa ina madhara kiafya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMKURUGENZI MANISPAA YA SINGIDA AWAONDOLEA HOFU WALAJI WA NYAMA


Na Ismail...
10 years ago
Mtanzania24 Aug
Afande Sele: Wanaonipiga zengwe wana hofu nitawashinda
AKIWA katika maandalizi ya kuanza harakati za kuomba kura kwa wananchi wa Morogoro Mjini anapogombea nafasi ya ubunge mkoani humo, mkali wa hip hop nchini, Seleman Msindi ‘Afande Sele’, amejikuta akiwekewa pingamizi lenye madai kwamba hajui kusoma na kuandika.
Afende Sele alisema ameshangazwa na pingamizi hilo lisilo na maana katika siasa kwa kuwa haliwashtui wapigakura wake kwa kuwa wanamfahamu vizuri ngazi zote za shule alizopitia.
“Nimeshangazwa nilipoitwa kwa mkurugenzi Manispaa ya...
10 years ago
Vijimambo
Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?

Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Imamu aiba nguruwe
KATIKA hali isiyo ya kawaida, aliyekuwa Imamu wa Msikiti wa Kisesa uliopo Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Salum Yusuph, amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira baada ya kukamatwa akiwa ameiba...
11 years ago
Mwananchi28 Feb
‘Marufuku kusafirisha nguruwe’
11 years ago
Habarileo26 Dec
Walaji ‘kitimoto’ kupata kifafa
CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa.
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Mfumuko wa bei watishia walaji
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Fisi wasitisha mradi wa nguruwe
11 years ago
BBCSwahili01 May
Nguruwe wanaorandaranda kupigwa risasi India