Jengo la CCM Dar lachefua wapangaji
>Hali ya uchakavu wa jengo la Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam, imekuwa kero kwa wapangaji wake na kusababisha hofu miongoni mwao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Wapangaji jengo la Treni Mji Mkongwe watakiwa kuhama jengo hilo
Na Abdulla Ali, Maelezo-Zanzibar
Serikali haitoridhia kuwabakisha Wapangaji na Wafanyabiashara katika jengo la Treni ili kuepusha maafa na kuokoa maisha ya Wananchi na mali zao.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar Mhe. Ramadhan Abdulla Shaaban wakati wa mkutano wa mzungumzo ya pamoja kati ya Wapangaji na Wafanyabiashara wanaolitumia jengo hilo na Serikali uliofanyika katika ofisi ya Mamlaka ya Mji Mkongwe iliopo...
10 years ago
VijimamboCCM YABOMOA JENGO LA TANU JIJINI DAR ES SALAAM
JENGO la ofisi ndogo la Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Lumumba Dar es Salaam ambako ndiko kilizaliwa Chama cha Tanu limebomolewa ili kupisha ujenzi wa jengo jipya la chama hicho.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema jengo hilo...
10 years ago
GPLCCM YABOMOA JENGO LA TANU JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Mwananchi05 May
Wapangaji NHC walia na kodi
11 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Kumiliki nyumba kisiwe kigezo cha kunyanyasa wapangaji !
KAMA kuna watu ambao wana hadhi zote za kuwa ‘miungu watu’ wa hapa duniani, basi ni pamoja na baadhi ya wale wenye nyumba za kupangisha hususan Jijini Dar es Salaam...
10 years ago
MichuziJENGO LA OFISI NDOGO YA CCM MTAA WA LUMUMBA LATEMBEZEWA NYUNDOZZ
Dotto Mwaibale
JENGO la ofisi ndogo la Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Lumumba Dar es Salaam ambako ndiko kilizaliwa Chama cha Tanu limebomolewa ili kupisha ujenzi wa jengo jipya la chama hicho.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye alisema jengo hilo...
10 years ago
MichuziJENGO LA GHOROFA 16 KUBOMOLEWA JIJINI DAR.
Amri hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es SalaamUwepo wa jingo hilo ambalo limejengwa chini ya kiwango limezua hofu kubwa kwa wakazi wa eneo hilo,kwani jingo hilo lipo karibu na jingo jingine lililokuwa na ghorofa 16 ambalo lilianguka...
11 years ago
Habarileo29 May
Bunge: Jengo la ghorofa 16 Dar livunjwe
BUNGE limesisitiza kuwa jengo la ghorofa 16 lililoko katika Mtaa wa Indira Gandhi, Dar es Salaam ambalo liliagiza mwaka jana livunjwe, agizo hilo litekelezwe.
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Mmiliki jengo lililoanguka Dar abadilishiwa mashitaka
MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, amemfutia kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili mmiliki wa jengo lililoanguka katika Mtaa wa Indra Gandhi mwenye asili ya Kiasia, Raza Hussein Raza...