JITIRIRISHE NA VISHOKOMZOBE VILIVYOPAMBA KATIKA PANDE ZA USO WA MAGAZETI PENDWA YA BONGO.
Kwa Vishokomzobe zaidi vya uso wa magazeti ya leo, jitiririshe soma zaidi
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboUDADAMVU KWENYE SURA ZA MBELE ZA MAGAZETU PENDWA HUKO KWA NYERERE JITIRIRISHE
KUJIONEA UDADAMVU ULIPAMBA MBELE YA MAGAZATI HAYA INGINA HUKU
11 years ago
GPLBATULI: NILIFURAHI KUKUTA MAGAZETI YA PENDWA BUNGENI
Mwanadada mrembo kutoka Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ pozini. MWANADADA mrembo kutoka Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amefunguka kuwa alifurahi kukuta magazeti Pendwa ya Global Publishers ndani ya mjengo wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akipinga stori na paparazi wetu, Batuli alisema aliyaona magazeti hayo hivi karibuni alipokuwa amekwenda mjengoni humo kuwawakilisha wasanii...
9 years ago
GPL16 Oct
DK. FADHILI AAHIDI ZAWADI WASOMAJI MAGAZETI PENDWA
Mwandishi Wetu DAKTARI wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dk. Fadhili Emily amewaambia wasomaji wa magazeti pendwa wakae mkao wa kula kwani anatarajia kutoa zawadi zaidi. Akizungumza na gazeti hili, daktari huyo anayedhamini Chemsha Bongo ya Flat Screen katika gazeti dada na hili la Amani, alisema anafurahishwa na habari zinazoandikwa na magazeti Pendwa ya Global Publishers kwani zinagusa jamii hivyo...
10 years ago
VijimamboMSANII WA BONGO FLAVA TOKA UGIRIKI ANAYESUMBUA PANDE HIZO
Kijana michael jackson kwa umaarufu wake hapa nchini Ugiriki lakini jina lake kamili ni juma ramadhani amabaye anayekuja kwa kasi kali mno hapa jijini Athens kwa nyimbo zake za bongo fleva na utoa show mbali mbali kwenye kumbi za hapa Ugiriki hususani kwenye fest vall na n.k hivi sasa kijana huyuu amepata wadhamini kadha kutoka nchi za nje akisubili mipango yake tutazidi kuwaeleza baadae na hata baadhi ya waimbaji wa kibongo waliowahi kuja hapa wanamjuwa kwa machachali yake anapokuwa...
10 years ago
MichuziUSAFIRI PENDWA KATIKA KIPINDI CHA MGOMO
Hivi ndivyo hali ilivyo katika maeneo mengi ya jiji la Dar na sehemu zingine nyingi, baada ya mgomo wa mabasi unaoendelea hivi sasa kwa nchi nzima. hapo nauli ni kuanzia mia tano mpaka elfu moja. Huu ndio usafiri pendwa kwa kipindi hiki.
10 years ago
CloudsFM30 Dec
Shoo ya miaka 15 ya Dully Sykes kwenye Bongo Fleva ni leo pande za Escape One
Leo ndo leo ndani ya Escape One mkongwe kwenye Bongo Fleva,Prince Dully Sykes anafanya tamasha kuadhimisha miaka 15 ndani ya tasnia ya Bongo Fleva,kwa kiingilio cha shs elfu 10,000 wasanii mbalimbali watakuwepo.
9 years ago
Vijimambo15 Sep
10 years ago
Vijimambo11 years ago
GPLBONGO MOVIES TAYARI KUWAKABILI BONGO FLEVA KATIKA USIKU WA MATUMAINI 2014
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies kutoka kushoto ni Mwenyekiti wao Steve Nyerere, William Mtitu na Issa Mussa 'Cloud 112' baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam wakitokea Bagamoyo walipokwenda kujiwinda kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Bongo Fleva leo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania