Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK awabeza waliodharau shule za kata

Rais Jakaya KikweteNA RAMADHAN HASSAN, DODOMA

RAIS Jakaya Kikwete amewabeza wale walioziita shule za kata kwa jina la yebo yebo kwa kuwa sasa ndizo zinazofanya vizuri katika ufaulu kwa shule za Serikali.

Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana, wakati akifunga Maadhimisho ya Wiki ya Elimu yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma.

Alizitolea mfano shule tatu za Mkoa wa Kilimanjaro zilizofanya vizuri katika ufaulu wa mtihani wa kidato cha nne kitaifa.

“Tulikosea wakati tunajenga madarasa, niliwaagiza wajenge madarasa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali iboreshe shule za kata

SUALA la elimu hapa nchini linapaswa kutazamwa kiundani ili kuwa na elimu bora nchini. Elimu ipewe kipaumbele kwa kuweka miundombinu rafiki na hatimaye kuwa mkombozi kwa maisha ya Watanzania wote....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watakiwa wasizidharau shule za kata

WITO umetolewa kwa watanzania kuacha kuzibeza shule za sekondari za kata badala yake waziamini na kuziunga mkono hasa kwa kuwa kipindi hiki ambapo shule hizo zinafanya vizuri katika mitihani ya...

 

11 years ago

Habarileo

Kagera wachachamalia maabara shule za kata

WANANCHI mkoani Kagera kwa kushirikiana na uongozi wa wilaya zao wameelezwa kuwa hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kupata maendeleo bila kuzalisha wanasayansi, hivyo Serikali ya Mkoa imetoa agizo ifikapo Juni mwaka kesho shule zote za kata ziwe na maabara mbili.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kushusha neema shule za Kata

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imesema imejipanga kuongeza uwekezaji katika Shule za Sekondari za Kata nchini ili kuongeza kiwango cha ufaulu ambapo pia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa katika sekta ya elimu umesaidia kuinua kiwango cha ufaulu kidato cha nne ambacho kilitetereka kwa miaka mitatu mfululizo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yashauriwa kufuta ada shule za kata

KAIMU Ofisa wa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Pwani, Dismas Chuwalo, ameishauri serikali kufuta ada ya shule za sekondari za Kata ili wahitimu wote wanaochaguliwa waweze kujiunga na shule hizo....

 

10 years ago

Mwananchi

Maabara 78 kukamilika shule za kata jijini Dar

>Ujenzi wa maabara 78 za masomo ya sayansi kwa shule za sekondari za kata jijini Dar es Salaam unatarajiwa kukamilika Novemba 30, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Waja na mpango wa kutunuku wanafunzi shule za kata

Maendeleo hayaji bila hamasa na motisha. Ili shule za sekondari za kata zifanye vizuri katika taaluma kama ilivyo kwa shule binafsi, wadau wa shule hizo na jamii kwa jumla haina budi kubuni mikakati ya kukuza ari ya kufundisha na kujifunza shuleni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kausta waomba kuungwa mkono shule za kata

UMOJA wa wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania kutoka mkoani Kagera (Kausta), umewaomba wadau wa sekta mbalimbali kujitokeza kuwaunga mkono ili waweze kwenda kujitolea katika shule za kata. Ombi hilo lilitolewa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasira awapiga kijembe wanaotambia shule za kata

>Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amewakosoa baadhi ya vigogo wanaojinasibu kuanzisha programu ya shule za sekondari za kata nchini akisema ni ujinga kusema hivyo kwa kuwa miradi yote hufanywa na Serikali na siyo mtu binafsi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani