JK, Ukawa wakubaliana
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TDC) alipokutana nao jana Ikulu ndogo mjini Dodoma. Picha na Ikulu
NA WAANDISHI WETU DAR, DODOMA
HATIMAYE mvutano kati ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Serikali umefikia kikomo baada ya pande mbili hizo kukubaliana na Rais Jakaya Kikwete kuboresha Katiba ya mwaka 1977 na kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu mwakani.
Hatima hiyo ilifikiwa jana kwenye kikao kilichofanyika kati ya Rais Kikwete na Kituo cha Demokrasia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 May
Walimu wakubaliana na sababu za JK
10 years ago
BBCSwahili27 Aug
Wakubaliana kusitisha mapigano Gaza
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Wakubaliana mpango wa amani Ukraine
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Wadau wa habari wakubaliana kushirikiana
10 years ago
Habarileo11 Dec
NEEC, TIB wakubaliana kuwawezesha wajasiriamali
BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) na Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), wameingia mkataba wa kuwawezesha kwa mikopo wajasiriamali vijana wanaomaliza vyuo vikuu nchini.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/bTQ94SQ5wOIIUcVzE8ZskEsqpGhLg1psHG0nz9Lowc-ObffJXo7DzmeUL1cVClxpEDz4RPq3kXgB*I98XW2AKuHcLf2dWIeS/kochaKimPoulsenwatimuyataifayavijana.jpg?width=650)
TFF, POULSEN WAKUBALIANA KUVUNJA MKATABA
5 years ago
Bongo514 Feb
Rais Magufuli na TUCTA wakubaliana haya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewahakikishia viongzoi wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) kuwa serikali ya awamu ya tano itaendelea kuimarisha zaidi ushirikiano kati yake na wafanyakazi kwa manufaa ya Taifa.
Rais Magufuli amefanya mazungumzo hayo, Alhamisi hii Ikulu jijini Dar es salaam, sambamba na hilo amesema kuwa pamoja na kuimarisha ushirikiano huo serikali iko tayari kupokea ushauri na maoni yatakayotolewa na vyama vya wafanyakazi wenye...
11 years ago
BBCSwahili10 May
Wakubaliana kusitisha vita Sudan Kusini
10 years ago
StarTV26 Feb
Vodacom, Tigo wakubaliana kuwa na gharama moja.
Na Grace Semfuko,
Dar Es Salaam,
Kampuni za simu za mkononi za Vodacom na Tigo zimeingia makubaliano ya pamoja ya kuwa na gharama moja ya utumaji wa pesa kupitia huduma zao za Tigo pesa na Mpesa.
Katika makubaliano hayo wateja milioni nne kutoka Tigo na wateja milioni 3 wa Vodacom watanufaika na huduma hizo.
Utiliaji saini makubaliano hayo umefanyika Jijini Dar Es Salaam baina ya wakurugenzi wa kampuni hizo mbili za Vodacom na Tigo.
Mkurugenzi wa Vodacom Rene Meza alisema...