Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu wakubaliana na sababu za JK

>Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema kuwa baadhi ya madai ya wafanyakazi nchini yatatatuliwa na rais ajaye, Chama cha Walimu, CWT, kimesema kinasubiri kwa hamu kuona namna kiongozi huyo mpya atakavyoshughulika matatizo yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sababu za kushuka kwa hadhi ya walimu nchini

Miaka ya nyuma ualimu ulikuwa unachukuliwa kama mojawapo ya taaluma zinazoheshimika nchiniMtu kuitwa mwalimu ilikuwa ni fahari na hadhi kubwa  katika jamii. Katika maeneo mengi nchini baadhi ya watu walifikia hatua ya kujulikana kwa jina la Mwalimu.

 

10 years ago

Mtanzania

JK, Ukawa wakubaliana

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TDC) alipokutana nao jana Ikulu ndogo mjini Dodoma. Picha na Ikulu

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TDC) alipokutana nao jana Ikulu ndogo mjini Dodoma. Picha na Ikulu

NA WAANDISHI WETU DAR, DODOMA

HATIMAYE mvutano kati ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Serikali umefikia kikomo baada ya pande mbili hizo kukubaliana na Rais Jakaya Kikwete kuboresha Katiba ya mwaka 1977 na kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu mwakani.

Hatima hiyo ilifikiwa jana kwenye kikao kilichofanyika kati ya Rais Kikwete na Kituo cha Demokrasia...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu

Walimu wilayani hapa wamekiomba Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kuweka utaratibu utakaowawezesha walimu walioko pembezoni kununua hisa katika Benki ya Walimu ikiwamo ya kutumia kutumia mitandao ya simu za mkononi.

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Selemani Jafo ameutaka uongozi mpya wa Tume ya Utumishi wa Walimu kutatua changamoto za walimu ili kuwatia moyo katika kutimiza majukumu yao.

Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .

Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.

Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...

 

11 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni

Mwalimu mahiri ni mwalimu mwenye uwezo wa kumudu kufundisha somo lake kikamilifu na kisha kutoa maarifa sahihi kwa mujibu wa maelekezo ya silabasi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakubaliana kusitisha mapigano Gaza

Israel na Wapalestina wakubaliana kusitisha mapigano Gaza chini ya usuluhishi wa Misri

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wa habari wakubaliana kushirikiana

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambao ni wadau wa habari, wamekubaliana kufanya kazi kwa karibu na Baraza la Habari Tanzania (MCT) na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ili kuboresha mahusiano kati ya Bunge hilo na waandishi wa habari wanaoripoti habari za Bunge hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakubaliana mpango wa amani Ukraine

Viongozi waliokuwa wakikutana nchini Belarus wamekubaliana mpango wa amani na kusitisha mapigano nchini Ukraine.

 

11 years ago

GPL

TFF, POULSEN WAKUBALIANA KUVUNJA MKATABA

Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili. Uamuzi huo umetangazwa leo (Februari 27 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kwa pamoja na Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Kocha Poulsen mbele ya waandishi wa habari. Rais Malinzi kwa niaba ya TFF ametoa shukrani za dhati kwa Kocha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani