JKU yajiimarisha ligi ya Zanzibar
LIGI Kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja iliendelea tena juzi kwa kupigwa mechi mbili tofauti kwenye uwanja wa Amani.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziLigi Kuu ya Zanzibar: JKU yaitandika KVZ bao 2-0 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Amaan
Mchezo uliochezwa jioni mabao ya JKU yamefungwa katika kipindi cha kwanza na katika dakika ya 8 mshambuliaji wa Timu ya JKU Mbarouk Chande ameipatia bao timu yake katika dakika ya nane ya mchezo huo kipindi cha kwanza na Bao la ushindi la JKU limepatikana katika kipindi hicho cha kwanza katika dakika ya 35 ya...
11 years ago
BBCSwahili02 Mar
Chelsea yajiimarisha kileleni ligi kuu
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Tanesco yajiimarisha
SHIRIKA la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco) kwa kushirikiana na Serikali ya Norway, linatarajia kufanya ukarabati wa vituo vitano vya uzalishaji umeme ili kuongeza kiwango cha uzalishaji wa nishati hiyo...
9 years ago
Habarileo21 Aug
JKU yaizidi ubabe Mafunzo
TIMU ya netiboli ya JKU imeendeleza ubabe kwa Mafunzo kwa kuifunga mabao 48-30 katika mchezo wa Ligi ya Kanda ya Unguja uliochezwa juzi kwenye Viwanja vya Gymkhana mjini Unguja.
9 years ago
Mwananchi16 Aug
Kipa JKU atua Msimbazi
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
JKU kupatiwa uwezo wa kijiendesha kiuchumi
Na Abdulla Ali-maelezo Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeanza kuwapatia nyenzo za kufanyia kazi Askari wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) ili liweze kujiendesha na kujiinua kiuchumi.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,. Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri (pichani) wakati akijibu swali la mwakilishi wa Jimbo la Wawi Mhe. Saleh Nassor Juma katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya...
11 years ago
BBCSwahili05 Dec
Arsenal yajiimarisha kwa mabao
10 years ago
BBCSwahili11 Aug
Google yajiimarisha kupitia Alphabet
10 years ago
Habarileo30 Jul
Kijichi kucheza Ligi Kuu Zanzibar
TIMU ya soka ya Kijichi imekuwa miongoni mwa timu zilizopanda daraja, ambazo msimu ujao zitashiriki Ligi Kuu ya Zanzibar baada ya kushinda 2-1 dhidi ya timu ya Idumu.