Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUSTIN BIEBER: Mtukutu wa Canada anayepigiwa kura za kutimuliwa Marekani

JUSTIN Bieber ni moja ya majina makubwa na maarufu duniani, umaarufu utokanao si tu na kazi za sanaa iliyoenda shule afanyazo kijana huyo mdogo, bali pia vituko tatanishi visivyolingana kamwe...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

India, Ufaransa, Marekani, Canada zaomboleza kipekee

India imekuwa nchi ya kwanza kuomboleza kwa siku nyingi msiba wa Madiba

 

10 years ago

BBCSwahili

Kura kwa bendera ya kikaburu Marekani

Wabunge wa Republican wanajaribu kuchelewesha kupigiwa kura sheria itakayoharamisha kupeperushwa kwa bendera hiyo

 

9 years ago

Habarileo

Waliohujumu CCM kutimuliwa

WANACHAMA na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliohusika kwa namna moja ama nyingine kukihujumu chama hicho wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu na kukikosesha ushindi katika kata na majimbo kadhaa, wametakiwa kutafuta pa kwenda kabla ya kufukuzwa uanachama.

 

10 years ago

GPL

WEREMA, NISINGESUBIRI KUTIMULIWA, NINGEJIUZULU

Jaji Frederick Werema akizungumza jambo. Kwako Jaji Frederick Werema.
Najua katika siku za hivi karibuni umekuwa katika wakati mgumu sana kutokana na kushiriki kwako kwa namna moja au nyingine katika sakata la mabilioni ya Escrow. Najua jinsi ulivyochanganyikiwa lakini sina namna nyingine zaidi ya kukufikishia ujumbe huu, hata kama utakuchukiza. Mimi  sikuzaliwa Oktoba 10, 1955 kama wewe. Sikusoma Shule ya Msingi Wegero...

 

10 years ago

Mwananchi

Kaze afagilia Loga kutimuliwa

Beki wa zamani wa Simba, Gilbert Kaze amesema Simba imefanya uamuzi wa maana wa kumtimua kocha Zdravko Logarusic, licha ya kuchelewa sana kuchukua uamuzi huo.

 

11 years ago

Habarileo

Mameya, wakurugenzi wakorofi kutimuliwa

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imesema kuanzia sasa itawaondoa madarakani mameya, wenyeviti wa halmashauri na wakurugenzi katika halmashauri zitakazokumbwa na mgogoro.

 

10 years ago

Habarileo

RC aagiza wadhibiti uegeshaji kutimuliwa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky SadikiMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, ameiagiza Halmashauri ya Jiji kuondoa kampuni ya uwakala wa kusimamia udhibiti wa uegeshaji holela wa magari katika eneo la jiji kutokana na makampuni hayo kuwa kero kwa watumiaji wa barabara.

 

5 years ago

BBCSwahili

Bwanaharusi apigwa na kutimuliwa harusini Karachi

Harusi iligeuka na kuwa vurugu baada ya bwanaharusi kugundulika kuwa alikua na wanawake wengine wawili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani