Kajala amundikia mwanae ujumbe wa siku ya kuzaliwa
Msanii wa filamu kajala Masanja leo (July 15) amemuandikia ujumbe mwanae Paula wasiku ya kuzaliwa kutokana na changamoto alizipitia wakati wa kumlea. Kajala kupitia instagram amesema:Miaka 12 iliyopita sikuwahi kujua kama itafikia siku nitajisikia hiki ninachofeel siku ya leo.. nimepitia mambo mengi sana na wewe.. nimepata shida nyingi mno lakini sikukuacha wala kukutupa.. kwenye jua […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies15 Jul
Huu ni ujumbe wa Kajala kwenda kwa mtoto wake leo kwenye siku ya kuzaliwa kwa binti yake huyo.
Miaka 12 iliyopita sikuwahi kujua kama itafikia siku nitajisikia hiki ninachofeel siku ya leo.. nimepitia mambo mengi sana na wewe.. nimepata shida nyingi mno lakini sikukuacha wala kukutupa.. kwenye jua ama mvua, iwe usiku ama mchana katika mitihani yote niliyopitia nilikuwa na wewe tu mwanangu.. ulikuwa kama pochi yangu.. bila kujua kesho utakuwa NANI!! nilikupenda tangu siku ya kwanza nakuona.. nilikuthamini na kuahidi nafsi yangu kuwa nitakufa na wewe katika hali yoyote ile bila kujua...
11 years ago
GPLKAJALA AMFANYIA BONGE LA BETHIDEI MWANAE PAULA
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-Sx3VoK6o0LI/VS4SV6wZv8I/AAAAAAAACFE/M7h1GCxNr38/s72-c/page%2B12%2B-13%2Bcopy.jpg)
9 years ago
Vijimambo10 Oct
KHERI YA SIKU YA KUZALIWA
![](http://gushit.com/files/bookmark_photos/0d296d3297L.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eAkQ2xyNfS7C0X3ZQFRnaHIbs8IbmLOFkdIQia3sfk9ti7zGaU-5IF1gKAn*gSwiSF1QrRSYTQEd8gT307bJY-36jFqdwUKY/3.gif?width=650)
KAJALA APEWA SIKU 5 ZA KUISHI
10 years ago
GPLWASTARA ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA NA WATOTO
10 years ago
GPLDIDA ASHEREKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t4lRGZ5APQu0s824vc1xjJpoDVlzaTvrcYTwuMdkU6qfJVd1t7yW-d*omtbGd2wMPoHY51*B9-INYXr2a-2MfPO*k-6TCjJ0/11052460_901984396506587_3944562307884460232_n.jpg?width=600)
HERI SIKU YA KUZALIWA JUMA MBIZO