KALIUA YATOA MIKOPO YA MILIONI 332 KWA VIKUNDI
NA TIGANYA VINCENTHALMASHAURI ya Wilaya ya Kaliua imetoa mikopo ya shilingi milioni 332 kwa vikundi mbalimbali ikiwa ni sehemu ya asilimia 10 ya mapato yake ya ndani.
Mikopo hiyo imekabidhiwa jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jaffo kwa niaba ya uongozi wa Halmashauri hiyo.
Akizungumza katika hafla ya kukabidhi mikopo hiyo , Mkurugenzi Mtendaji Dkt. John Pima alisema kati ya fedha shilingi milioni 215 kwa vikundi 38.
Alisema wametoa pikipiki 10...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKALIUA YATOA MKOPO WA MILIONI 345 KWA VIKUNDI 57 KATIKA KUSHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kaliua imekabidhi mkopo wa shilingi milioni 345 kwa vikundi 57 ikiwa ni sehemu ya asilimia 10 ya mapato yake ya ndani katika mwaka wa fedha unaoendelea.
Taarifa hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Dkt. John Pima wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo kimkoa yalifanyika jana Wilayani humo.
Alisema kati ya fedha hizo vikundi 28 vya wanawake vimepokea milioni 184, vikundi 19 vya vijana vimekopeshwa 133.5 na...
5 years ago
MichuziKALIUA YATOA MILIONI 10 WALIMU WALIOFANYA VIZURI KATIKA
NA TIGANYA VINCENT
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kaliua imetoa shilingi milioni 10 za motisha na vyeti kwa shule za msingi na sekondari zilizofanya vizuri katika mitihani ya kitaifa.
Kauli hiyo imetolewa jana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Dkt. John Pima wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo.
Alisema kuwa lengo la kutoa fedha hizo ni kutoa motisha kwa ajili ya kuwahamisha walimu waongeze juhudi ili kuondoa daraja sifuri na daraja la nne.
Dkt. Pima alisema...
5 years ago
MichuziHALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATOA MIL.626 KWA VIKUNDI
Na.Ashura Mohamed -Arusha
Halmashauri ya Jiji la Arusha imekabidhidi Hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 626,kwa vikundi 100 vya Mikopo kwa makundi matatu ya Wanawake,Vijana na watu wenye Walemavu.
Akikabidhi Hundi hiyo Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro alisema fedha hizo ni kutoka Mapato ya ndani ambapo lengo ni kuwawezesha wananchi, kiuchumi ili kutimiza Sera ya Serikali ya Awamu ya Tano.
Daqqaro alisema kuwa serikali ya Sasa imekuwa ikisisitiza uwekezaji kwenye sekta ya Viwanda...
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Rweikiza aviwezesha vikundi kupata mikopo
ZAIDI ya vikundi 200 vimewezeshwa kupata mikopo isiyo na riba ya zaidi ya sh milioni 150 inayoratibiwa na Mbunge wa Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza. Pia mbunge huyo mapema mwaka huu...
11 years ago
MichuziLAPF YATOA MIKOPO YA ELIMU KWA WANACHAMA WAKE
11 years ago
MichuziSido yatoa mikopo kwa wajasiliamali wa mkoa wa Lindi
jinsi shirika lake linavyowezesha wajasilamali wa mkoa huo kwa kuwapa
mikopo na elimu ya wajasiliamali katika hafla Fupi ya kukabidhi hundi
za mikopo kwa wajasiliamali 21,kutoka kushoto ni Bw Dickson
Kindole,Mhandisi Sido,Bi Salma Ally,Afisa mikopo na Mkuu wa Wilaya ya
Lindi Dr Nassor Hamid
Baadhi ya wajasiliamali waliokabidhiwa hundi za mikopo
wakimsikiliza Mkuu wa wilaya( hayupo pichani)Katika Hafla hiyo
iliyofanyika jana mjini Lindi
Mkuu...
10 years ago
Dewji Blog11 Jan
Serikali yatoa shillingi millioni 21 Nzega mikopo kwa Vijana
Mwenyekiti wa Vijana Saccoss Nzega Bw. Emmanuel Mambo (watatu kulia) akiishukuru serikali kwa kuwapatia kiasi cha shillingi millioni 21 kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, kwa ajili ya mikopo ya vikundi vya vijana,hivi karibuni maafisa hao kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo.(Picha zote na Anitha Jonas – Maelezo, Nzega).
Na Anitha Jonas – Maelezo,Nzega
Serikali imewataka vijana kuitumia vyema mikopo wanayopata katika kuteketeza miradi mbalimbali ya kimaendeleo ili...
5 years ago
MichuziSHERIA YA KODI YATOA MSAMAHA KWA MAPATO YASIYOZIDI MILIONI 4 KWA MWAKA
11 years ago
Habarileo15 Jul
Dar yatoa milioni 7/- kwa wajasiriamali
HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam kupitia Idara ya Mipango Miji imetoa Sh milioni saba, kama mikopo kwa vikundi vitatu vya wajasiriamali.