Kanda ya Ziwa yachangia asilimia 30 ya uchumi nchini
Wakati Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) likisema uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia saba, Idara ya Uchumi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inaeleza kuwa Mkoa wa Mwanza pekee unachangia pato la Taifa kwa asilimia 29.6.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Ukuaji wa uchumi nchini washuka kwa asilimia 2.1
10 years ago
Mtanzania10 Jun
Lowassa atesa kanda ya Ziwa
Na Waandishi Wetu
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameendelea kutesa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa anakopita kutafuta wadhamini akitafuta kuteuliwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Lowassa alianza kusaka wadhamini alipotua mkoani Mwanza wiki iliyopita ambako alipata mapokezi makubwa huku maelfu ya wana CCM wakijitokeza kumdhamini.
Hadi sasa Lowassa ametembelea mikoa ya Mwanza ambapo alidhaminiwa na wanachama 2676 , Geita, Mara, Mjini na Magharibi Zanzibar na Kaskazini na...
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Mashabiki kanda ya Ziwa wastaarabu.
10 years ago
Mwananchi05 Dec
Mbili kutoka Kanda ya Ziwa
9 years ago
Habarileo16 Aug
Waandishi Kanda ya Ziwa wafundwa
WAANDISHI wa habari nchini, wametakiwa kutekeleza wajibu wao kwa kufuata maadili na misingi ya uandishi wa habari hususan za uchunguzi wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vJSFiOyZSXVQ5DuD1Qace9dDRPZtINoNG22-WYX83HqDgiupkHqnpoqNecrgirS0f8wnmXHo29ODi1eqyT1URYlkPvXSjDCk/3.jpg?width=650)
MAGUFULI GUMZO KANDA YA ZIWA!
10 years ago
Vijimambo"IMETOSHA" YAJITAMBULISHA KANDA YA ZIWA
9 years ago
Raia Mwema23 Sep
CCM, Chadema hapatoshi Kanda ya Ziwa
HEKAHEKA za kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeendelea kushika kasi katika Kanda ya Ziwa ambapo mchuano
Christopher Gamaina
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Miss Albino kusakwa Kanda ya Ziwa
NA GEORGE KAYALA
BAADA ya kupatikana washindi wa Miss Albino Kanda ya Mashariki na Kaskazini, kwa sasa shindano hilo linatarajiwa kufanyika Kanda ya Ziwa mwishoni mwa mwezi ujao jijini Mwanza ikiwa ni harakati za kuendelea kumsaka Miss Albino Tanzania 2016.
Mratibu wa shindano hilo, Alexander Matowo, aliliambia MTANZANIA jana kuwa maandalizi kwa ajili ya kumpata mshindi huyo yanaendelea ambapo tarehe na ukumbi vitawekwa wazi mwishoni mwa wiki hii.
Washindi waliopatikana hadi sasa ni...