KANSA YA MATATITI: VITAMIN D NDIYO KINGA KUBWA
![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2MXP4Ae7ZIeB4ax8xVMQUHK2FSHPFHQbtev*LNsdYcdcOEcYsGbKl82DkA*HGw3BEL2ZQRtVmcrDBKgBnBA00Hp/kansa.jpg?width=650)
Vitamin D, ambayo kwa kiasi kikubwa hupatikana kwa ngozi kupata mwanga wa jua, ina faida nyingi muhimu za kiafya mwilini na utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa vitamin hiyo ndiyo msingi mkubwa wa kuzuia magonjwa mbalimbali mwilini. Utafiti huo umebaini kuwa vitamin D ni muhimu kwa sababu kiasia cha asilimia 10 ya vinasaba (genes) vya mwili wa binadamu vinaitegemea vitamin hii kufanya kazi yake, kikiwemo kinasaba kinachohusika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies06 Jul
Changamoto za Walemavu Ndiyo Sababu Kubwa ya Wastara Kuingia Kwenye Siasa
Naitwa Wastara Juma kama watanzania wenzengu mnavyonifahamu mimi ni muigizaji wa filamu na kazi nyingine zinazohusiana na kiwanda cha filamu. leo niongee kitu ili watanzania wenzangu muelewe kwanini nimeamua kujiingiza kwenye siasa, kikubwa kilichonisukuma kuingia kwenye siasa ni jambo moja kubwa sana kwangu ambalo ni (WALEMAVU) .
Huwezi kusimulia uchungu wa mwana wakati haujawahi kuzaa huwezi kumzunguzia au kumtetea mlemavu hali ya kuwa hujui uchungu, matatizo na maumivu yake,, Mpaka sasa...
11 years ago
Habarileo05 Jun
Vitamin A tatizo Tanzania
UKOSEFU wa Vitamin A kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano unachangia mdororo wa elimu, uoni hafifu na vifo kwa asilimia 33.
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Important Information About Vitamin D!
Vitamin D prevents osteoporosis, depression, prostate cancer, breast cancer,and even effects diabetes and obesity.
Vitamin D is perhaps the single most underrated nutrient in the world of nutrition. That’s probably because it’s free: your body makes it when sunlight touches your skin.
Fifteen facts that are important to know about vitamin D and sunlight exposure:
1. Vitamin D is produced by your skin in response to exposure to ultraviolet radiation from natural sunlight.
2. The healing rays...
10 years ago
BBCSwahili03 Aug
Waingereza kutumia tembe za Vitamin D
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Watoto asilimia 33 nchini wana upungufu Vitamin A
TAASISI ya Chakula na Lishe Tanzania, imesema asilimia 33 ya watoto walio na umri chini ya miaka 5 nchini wana upungufu wa vitamini A. Mtaalamu wa chakula na lishe kwa...
10 years ago
Bongo524 Feb
New Video: Belle 9 ft. Joh Makini — Vitamin Music
10 years ago
Bongo501 Oct
Belle 9 auzungumzia wimbo wake mpya Vitamin Music
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
New Study Finds that Orange Maize Improves Vitamin A in Children
Vitamin A deficiency is widely prevalent in Sub-Saharan Africa
Just ahead of World Food Day, a study published in the American Journal of Clinical Nutrition (http://goo.gl/AwrAkl) has established that ‘orange’ vitamin A maize increases vitamin A storage in the body. This maize has been conventionally bred (non-GMO) to have higher levels of beta-carotene, a naturally occurring plant pigment that the body then converts into vitamin A.
Lack of sufficient vitamin A blinds up to 500,000...
10 years ago
Habarileo27 May
Watoto miaka mitano kupewa vitamin A, dawa za minyoo
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania ikishirikiana na Manispaa zote za Mkoa wa Dar es Salaam wamepanga kutoa matone ya vitamin A na dawa ya minyoo kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.