Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kanuni Saba za Bunge Maalumu zarekebishwa

Evod MmandaKAMATI ya Kanuni na Haki za Bunge Maalum imezifanyia marekebisho Kanuni zake Saba kwa lengo la kuweka utaratibu mzuri wa wajumbe kupendekeza marekebisho ya ibara na sura mpya za Rasimu ya Katiba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kanuni Bunge Maalumu zapita

HATIMAYE Bunge Maalumu la Katiba, limepitisha rasimu ya Kanuni zitakazotumika kuongoza majadiliano, pamoja na vifungu ambavyo havikutaja aina ya upigaji kura kama utakuwa wa wazi au wa siri. Hata hivyo, wakati Bunge likipitisha azimio hilo, baadhi ya wajumbe wamelaani kitendo cha Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu, Pandu Ameir Kificho, kuridhia kupitishwa kwa ‘kanuni nusu’ za Bunge kwa maelezo kuwa jambo hilo halitaleta muafaka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge Maalumu la Katiba limekosa kanuni

HIVI  Watanzania tunapata muda wa kujihoji ni sababu gani zimetufanya tufike hapa tulipo? Ni kwanini wananchi wengi walidai au kuhitaji Katiba mpya ya Tanzania kwa kipindi chote hiki?  Tunajiuliza ni...

 

11 years ago

Michuzi

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni za bunge maalumu wakijibu hoja za wabunge leo

 Mjumbe Mhe. Tundu Lissu akitoa ufafanuzi ya moja ya hoja zilizowekwa mezani na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakati wa majadiliano ya rasimu za kanuni  Mjumbe Mhe Evod Mmanda akijibu hoja Mjumbe Mhe. George Simbachawene akitoa ufafanuzi.  Mjumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni  ambaye pia anatoka kundi la walemavu Mhe. Amon Anastaz Mpanju akijibu hoja za wabunge. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii

 

11 years ago

Michuzi

mhe livingtsone lusinde aongelea bunge maalumu la katiba, na posho ya laki saba kwa siku

Mbunge wa Jimbo la Mtera Mh. Livingstone Lusinde akiongea baada ya kusajiliwa kama mjumbe wa kamati ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma Februari 16, 2014

 

11 years ago

Mwananchi

Mahalu: Tatizo la Bunge la Katiba si kanuni

Bunge Maalumu limeshuhudiwa likigawanyika, baada ya upande unaojitanabaisha kama Umoja wa Katiba ya Wananchi, (Ukawa) kususia vikao vyake, huku upande mwingine ukibaki ukumbini kuendelea na mjadala katika Sura ya kwanza na Sita za Rasimu ya Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Mizengo Pinda ataka kanuni za Bunge zibadilishwe

Uamuzi wa wabunge wa Kambi Rasmi ya Upinzani kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge wakisusia uhitimishaji wa mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, kimemzindua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye amependekeza kubadilishwa kwa kanuni za Bunge ili kuwadhibiti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani