Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kasoro za mashindano ya taifa ya Netiboli

Kwa mara ya kwanza tangu kuingia madarakani, uongozi mpya wa Chama cha Netiboli Tanzania (Chaneta) ulifanya mashindano ya taifa ya netiboli yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa wiki moja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mchezo wa netiboli unahitaji mashindano mengi

>Wiki iliyopita Michuano ya Netiboli ya Kombe la Taifa ilifikia tamati jijini Dar es Salaam kwa mkoa wa kimichezo wa Temeke kutwaa ubingwa baada ya kuifunga Morogoro kwenye fainali iliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.

 

11 years ago

Michuzi

Mashindano ya Klabu Bingwa ya Netiboli nchini yafunguliwa katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma

Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe Juma Nkamia aliyeshika mpira akilenga kapu(kufunga goli) akiashiria ufunguzi rasmi wa mashindano ya Klabu Bingwa ya Netiboli katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe Juma Nkamia akisalimiana na vikosi vya JKT na Kikosi cha Police Dodoma (waliovalia kijani).Timu hizi ndizo zilizo funguwa mashindano haya ya Klabu Bingwa ya Netiboli katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Naibu Waziri wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Temeke malkia Netiboli Taifa

TIMU ya netiboli ya Mkoa wa Temeke, imetwaa ubingwa wa Kombe la Taifa katika mashindano yaliyofikia tamati jana Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Wakati ubingwa ukienda Temeke, nafasi...

 

9 years ago

StarTV

UVCCM Taifa waitaka NEC kurekebisha kasoro

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa UVCCM umeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuhakikisha inarekebisha kasoro zote zilizojitokeza wakati wa kazi ya uandikishwaji kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura ili zisijitokeze tena kwenye uchaguzi Mkuu.

Aidha umelitaka jeshi la polisi kuhakikisha linaimarisha usalama wakati wote wa kuanza harakati za kampeni na uchaguzi unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Akizungumza Jijini Dar es salaam, Shaka amesema uhakika na ufanisi ni  mambo...

 

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA WAZI YA UBINGWA WA TAIFA YANAVYO ENDELEA KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Mabondia Abuu Said wa JKT akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adolf Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoendelea katika uwanja wa ndani wa taifa Said alishinda mpambano huo na kuingia fainali Uringo mpya wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT walipewa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel hivi karibuni wakiufanyia majaribio ya kuuchezeshea ngumi kabla ya makabidhiano rasmi na kampuni hiyoBaadhi ya viongozi wa mchezo wa ngumi nichini wakifuraia jambo...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA TAIFA YA MCHEZO WA CHESS YAKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KWENDA KUSHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA NCHINI NORWAY

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi (kulia), akimakabidhi Bendera ya Taifa, mmoja wa wachezaji wa timu ya Taifa wa mchezo wa Chess, Hemed Mlawa (wa pili kushoto), Dar es Salaam leo asubuhi kwa ajili ya kuondoka kesho kwenda kushiriki mashindano ya kimataifa nchini Norway. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Spicenet, Vinay Choundry ambaye ni muasisi wa mchezo huo hapa nchini, kushoto ni mchezaji Emmanuel Mwaisumbe. Safari hiyo imedhaminiwa na Tanzania Chess...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

RATIBA YA MASHINDANO YA KOMBE LA WANAWAKE TAIFA



 Rais Wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mh Jamal Malinzi akizungumza na wanahabari leo katika ofisi za TFF kuhusu kampuni ya Proin Promotions ltd kudhamini Mashindano ya mpira wa miguu kwa wanawake yajulikanayo kama Kombe la Wanawake Taifa, mashindano hayo yanatarajiwa kuanza tarehe 28 Disemba kwa kushirikisha timu kutoka Mikoa yote ya Tanzania. Mashindano hayo yatazinduliwa Mkoani Mwanza kwa kuzikutanisha timu za Mwanza na Mara. Kushoto kwa rais wa TFF ni Rose Kissiwa ambae ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani