UVCCM Taifa waitaka NEC kurekebisha kasoro
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa UVCCM umeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuhakikisha inarekebisha kasoro zote zilizojitokeza wakati wa kazi ya uandikishwaji kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura ili zisijitokeze tena kwenye uchaguzi Mkuu.
Aidha umelitaka jeshi la polisi kuhakikisha linaimarisha usalama wakati wote wa kuanza harakati za kampeni na uchaguzi unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Akizungumza Jijini Dar es salaam, Shaka amesema uhakika na ufanisi ni mambo...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi12 Nov
NEC itumie uchaguzi mdogo kurekebisha kasoro
11 years ago
Mwananchi21 Jun
NEC yakiri kasoro daftari la wapigakura
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
NEC irekebishe kasoro hizi BVR
JANA, wananchi wa Dar es Salaam walianza kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu na mingine inayokuja miaka ijayo.
Hata hivyo, tumesikitishwa na baadhi ya matukio yaliyotokea katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam jana kutokana na kasoro kadhaa zilizojitokeza na kusababisha usumbufu na madhara yasiyo na sababu.
Kwanza, kumekuwapo na matatizo ya vifaa vyenyewe vya kuandikishia ambapo kuna watu walifika vituoni mapema na...
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
NEC iepuke kasoro hizi, kufanikisha uandikishajiÂ
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kuanza kazi ya uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ambalo linatumia mfumo mpya wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ , kazi ambayo...
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Kasoro za mashindano ya taifa ya Netiboli
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-se3eUCrjsbU/VNMTzBJa9KI/AAAAAAAB2-4/c5YGyvtxFpY/s72-c/img_9322.jpg)
Msiba: Mjumbe wa NEC Ludewa ambae ni mwenyekiti wa UVCCM wilaya hiyo afariki dunia
Katibu mwenezi wa CCM wilaya ya Ludewa Felix Haule alisema ...
10 years ago
Dewji Blog01 Mar
Katibu Mkuu UVCCM Taifa, amlilia Capt. Komba
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sixtus Mapunda (pichani) amesikitishwa na k ifo cha ghafla cha aliyekuwa Mbunge wa Mbinga, Marehem Capt. John Komba aliyefariki, wakati akiendelea na matibabu katika Hospital ya TMJ, jijini Dar es Salaam, jana Februari 28, majira ya saa 10, jioni.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook, Sixtus ambaye alikuwa akifanya kazi za kichama karibu na marehemu zikiwemo zile za jimboni, ambapo alisema nyota ya Capt. Komba imezimika ghafla...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-H7wZtaIJNvs/VJqs6o-fXtI/AAAAAAAAF84/a3KumLdyw-w/s72-c/20141224_121916.jpg)
MAKAMU MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AKUTANA NA VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO WALIOPIGWA MABOMU JANA
![](http://4.bp.blogspot.com/-H7wZtaIJNvs/VJqs6o-fXtI/AAAAAAAAF84/a3KumLdyw-w/s640/20141224_121916.jpg)
9 years ago
Dewji Blog17 Aug
Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) lampa ‘Mkono wa kwaheri’ Kingunge Ngombale Mwiru
Pichani ni picha ya Maktaba: Kingunge Ngombale Mwilu (kushoto) ambaye alikuwa Kamanda wa UVCCM Taifa mapema Agosti 16, amevuliwa nafasi hiyo na uongozi wa UVCCM Taifa kufuatia kikao chao kilichokaa jijini Dar es Salaam.
Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM lililokutana tarehe 15.08.2015 katika ukumbi wa Julius Nyerere International convention centre, pamoja na mambo mengine liliazimia mambo yafutauo:-
1.Lilimvua Ukamanda Mkuu ndugu Kingunge Ngombale Mwiru. Maamuzi hayo yalitolewa kutokana...