NEC irekebishe kasoro hizi BVR
JANA, wananchi wa Dar es Salaam walianza kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu na mingine inayokuja miaka ijayo.
Hata hivyo, tumesikitishwa na baadhi ya matukio yaliyotokea katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam jana kutokana na kasoro kadhaa zilizojitokeza na kusababisha usumbufu na madhara yasiyo na sababu.
Kwanza, kumekuwapo na matatizo ya vifaa vyenyewe vya kuandikishia ambapo kuna watu walifika vituoni mapema na...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
NEC iepuke kasoro hizi, kufanikisha uandikishajiÂ
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kuanza kazi ya uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ambalo linatumia mfumo mpya wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ , kazi ambayo...
11 years ago
Habarileo17 Jul
Lubuva: BVR itaondoa kasoro
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema mabadiliko ya uandikishaji wa daftari la wapiga kura kwa njia ya Biometric Vote Registration (BVR), haijaja kwa lengo la kukisaidia chama chochote cha siasa, bali ni kuondoa kasoro na malalamiko yaliyokuwepo hapo awali.
9 years ago
Dewji Blog25 Aug
Ufafanuzi kasoro za BVR na uwekaji wazi wa Daftari la awali la Wapiga kura nchini
Baadhi ya mashine za BVR pichani…
Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR) ulikamilika tarehe 04/08/2015 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani.
Baada ya kukamilika kwa zoezi la Uboreshaji Tume imekuwa ikichakata (processing) taarifa za Wapiga Kura ili kuweza kuandaa Daftari la Awali la Wapiga Kura, katika maandalizi hayo mifumo imeweza kugundua kasoro mbali mbali ambazo baadhi zimefanyiwa kazi na zingine zinaendelea...
9 years ago
MichuziUFAFANUZI KWA KUHUSU KASORO ZA BVR NA UWEKAJI WAZI WA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA
11 years ago
Mwananchi21 Jun
NEC yakiri kasoro daftari la wapigakura
9 years ago
StarTV22 Aug
UVCCM Taifa waitaka NEC kurekebisha kasoro
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa UVCCM umeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuhakikisha inarekebisha kasoro zote zilizojitokeza wakati wa kazi ya uandikishwaji kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura ili zisijitokeze tena kwenye uchaguzi Mkuu.
Aidha umelitaka jeshi la polisi kuhakikisha linaimarisha usalama wakati wote wa kuanza harakati za kampeni na uchaguzi unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Akizungumza Jijini Dar es salaam, Shaka amesema uhakika na ufanisi ni mambo...
9 years ago
Mwananchi12 Nov
NEC itumie uchaguzi mdogo kurekebisha kasoro
10 years ago
Mwananchi26 Jun
NEC itathmini uandikishaji wa BVR
10 years ago
Daily News25 Mar
NEC given funds for more BVR kits
Daily News
THE National Electoral Commission (NEC) has received 70 per cent of funds it needs for buying 8,000 Biometric Voter Registration (BVR) kits, Prime Minister, Mr Mizengo Pinda, said on Tuesday. “The government had disbursed 70 per cent of the required ...