Lubuva: BVR itaondoa kasoro
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema mabadiliko ya uandikishaji wa daftari la wapiga kura kwa njia ya Biometric Vote Registration (BVR), haijaja kwa lengo la kukisaidia chama chochote cha siasa, bali ni kuondoa kasoro na malalamiko yaliyokuwepo hapo awali.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
NEC irekebishe kasoro hizi BVR
JANA, wananchi wa Dar es Salaam walianza kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu na mingine inayokuja miaka ijayo.
Hata hivyo, tumesikitishwa na baadhi ya matukio yaliyotokea katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam jana kutokana na kasoro kadhaa zilizojitokeza na kusababisha usumbufu na madhara yasiyo na sababu.
Kwanza, kumekuwapo na matatizo ya vifaa vyenyewe vya kuandikishia ambapo kuna watu walifika vituoni mapema na...
10 years ago
TheCitizen18 Apr
We’ve received 1,600 BVR kits, announces Lubuva
10 years ago
Mtanzania25 Feb
Jaji Lubuva ajibu mapigo ya Ukawa BVR
Mauli Muyenjwa na Maneno Selanyika, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, amewataka wanasiasa waache kutumia changamoto za mfumo wa kielektroniki wa uandikishaji wapigakura (Biometric Voter Registration-BVR) ili kujipatia umaarufu wa kisiasa.
Kauli hiyo ya Jaji Lubuva imekuja siku chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kumuonya na kudai kamwe chama chake hakitakubaliana na vitendo vya hujuma ambavyo...
10 years ago
Mwananchi15 Mar
Jaji Lubuva: Hakuna Kura ya Maoni bila uandikishaji BVR kukamilika
9 years ago
Dewji Blog25 Aug
Ufafanuzi kasoro za BVR na uwekaji wazi wa Daftari la awali la Wapiga kura nchini
Baadhi ya mashine za BVR pichani…
Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR) ulikamilika tarehe 04/08/2015 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani.
Baada ya kukamilika kwa zoezi la Uboreshaji Tume imekuwa ikichakata (processing) taarifa za Wapiga Kura ili kuweza kuandaa Daftari la Awali la Wapiga Kura, katika maandalizi hayo mifumo imeweza kugundua kasoro mbali mbali ambazo baadhi zimefanyiwa kazi na zingine zinaendelea...
9 years ago
MichuziUFAFANUZI KWA KUHUSU KASORO ZA BVR NA UWEKAJI WAZI WA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA
10 years ago
Dewji Blog11 Mar
AUDIO: Jaji Lubuva akanusha vikali taarifa ya gazeti ‘Mkandarasi wa mashine za BVR amegoma kuleta mashine nchini’
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akitoa kanusho kuhusiana na Mkandarasi wa BVR kugoma kuleta vifaa, achachamaa kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Tanzania Daima.
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Mhagama: Tehama itaondoa tatizo la walimu, vitabu
WADAU wa elimu wamekubali kutumia teknolojia ya habari na mwasiliano kufundisha na kujifunza ili kukabili tatizo la uhaba wa walimu na vitabu linalokwaza maendeleo ya elimu nchini. Hayo ni baadhi...
10 years ago
Habarileo18 Aug
Serikali itaondoa matatizo miradi ya NSSF - Pinda
SERIKALI i imesema itajipanga kuona namna ya kukabili changamoto zinazokwamisha miradi mikubwa, inayoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa lengo la kubadilisha sura ya Jiji la Dar es Salaam.