Katiba hatarini kuvunjwa, wanasheria waonya
Wakati Bunge Maalumu la Katiba linakusudia kufanyia marekebisho kanuni zake ili kuwabana wajumbe wa Bunge hilo ambao wamesusia kushiriki mchakato wa Katiba, wanasheria, wasomi na wanaharakati wamepinga dhamira hiyo wakisema itasababisha kuvunjwa kwa Katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi12 Oct
‘Kuvunjwa katiba kumeniondoa CCM’
11 years ago
Habarileo02 May
JK, Mkapa, Shein waonya mchakato wa Katiba mpya
VIONGOZI wa kitaifa wameonya kuhusu muelekeo wa mchakato wa kupata Katiba mpya, kwamba usiachiwe kuvuruga amani, upendo na mshikamano wa kitaifa, huku Rais Jakaya Kikwete akihadharisha kuwa isipopatikana, Katiba hiyo, itatafutwa tena miaka ijayo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nGTcCv7erQIqJWnCVKMo8DcvpUZ8XXQLFkehyusPUUcLPrngyBIiYZY59ngCyS1Vk8SgutDZo1BsERYVBu9rJjMapI98zw3t/IKULU.png?width=650)
TANGAZO LA SERIKALI KUHUSU KUVUNJWA KWA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
11 years ago
Michuzi25 Mar
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Wanasheria wahoji uhalali wa Bunge la Katiba bila Ukawa
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Bunge la Katiba hatarini
KUSUASUA kuanza rasmi kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba kuna hatari ya Bunge hilo kuahirishwa ili kuruhusu Bunge la Muungano kuendelea na vikao vya Bunge la Bajeti, Tanzania Daima...
10 years ago
Michuzi18 Sep
CHAMA CHA WANASHERIA TANZANIA CHAIOMBA MAHAKAMA KUU KUWARUHUSU KUFUNGUA MAOMBI YENYE MWELEKEO WA KUPINGA BUNGE LA KATIBA
CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimeiomba Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam kuwaruhusu kufungua maombi yenye mwelekeo wa kupinga mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba unavyoendelea mjini Dodoma.
Wakili wa TLS Mpale Mpoki alilieleza jopo la majaji watatu linalioongozwa na Mwenyekiti Jaji Augustine Mwarija akisaidiana na Aloysius Mujulizi na Fauz Twaib kuwa kuna mambo kadhaa yanayobishaniwa ambayo yanahitaji Mahakama hiyo kuingilia na kutolea...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
TFF Karume kuvunjwa
OFISI za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), zinatarajiwa kuhama kwa muda Karume, Ilala jijini Dar es Salaam mapema mwezi ujao kupisha uendelezaji wa eneo hilo, ikiwa ni moja ya ilani...
9 years ago
Habarileo22 Sep
Wazee waonya wapigadebe wa urais
WAZEE wa vyama mbalimbali vya siasa mkoani hapa, wamecharuka na kutoa onyo kwa wapiga debe wa wagombea mbalimbali katika kampeni za uchaguzi, kama urais na ubunge, wanaotoa lugha chafu.