Katiba Mpya: Nimeitafakari Sana Njia Ya Kikwete…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
Ndugu zangu,
Naziona ishara za kuendelea kwa mvumo mbaya wa upepo wa kisiasa na hususan inapohusu hoja ya Muungano na muundo wa Serikali.
Mjadala unaoendelea sasa ni kama vile umefunikwa kwa chandarua kisicho na kinga ya wadudu wenye madhara kama mbu.
Tunakoelekea si kuzuri. Msimamo wangu uko wazi, kuwa tunahitaji muundo wa Serikali Tatu ili tuimarishe Muungano wetu. Kwamba tunahitaji uwepo wa Tanganyika kama nchi.
Lakini,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/26rh2i2B5MYTLNLYpF2RkqiaGdcgk5Dk6Jdl*YyKZPYkBrpwyc-EdINJvVtXkR4o*oKEilw2VeC3r1R42gRg-sGbMwE1ebAj/AskofuSeverinNiwemugizi.jpg?width=650)
ASKOFU WA KATOLIKI AELEZA NJIA MPYA KUZUIA KATIBA
10 years ago
Mtanzania23 Sep
Askofu wa Katoliki aeleza njia mpya kuzuia Katiba
![Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Askofu-Severin-Niwemugizi.jpg)
Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na hivyo watapita kwa Watanzania na waumini wao kuwaeleza nini cha kufanya.
Jukwaa hilo lilikutana Agosti 27 hadi 28, mwaka huu na kujadili hatima ya Bunge hilo na kutoa mapendekezo sita, moja ikiwa...
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Katiba Mpya njia panda, Ukawa waapa kuendelea kususia vikao
10 years ago
Mtanzania05 Sep
Kikwete adokeza siri Katiba Mpya
![Rais Jakaya Kikwete](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jakaya-Kikwete1.jpg)
Rais Jakaya Kikwete
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM, DODOMA
HATIMAYE siri nzito kwenye mazungumzo kati ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa walio chini ya Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), imeanza kujulikana baada ya Rais Jakaya Kikwete jana kutoa taarifa rasmi ya awali kuwa mazungumzo kati yao yanakwenda vizuri na mwafaka wa mchakato wa Bunge la Katiba utapatikana kuanzia Jumatatu ijayo.
Kwa maneno yake, Rais Kikwete wakati akihutubia taifa kupitia kwa wazee wa Dodoma...
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Katiba Mpya: Rais Kikwete ajivua lawama
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Jukata: Rais Kikwete ameshindwa Katiba mpya
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limesema Rais Jakaya Kikwete ameshindwa kutimiza ahadi ya kuwapatia Watanzania Katiba mpya kabla ya kumaliza uongozi wake. Kauli ya Jukata ilitolewa Dar es Salaam jana...
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Kikwete hataki Katiba mpya, mnahangaika bure
KIFALSAFA kuna makosa ya fikra huitwa falasi (fallacy) na mengine huitwa sofizim (sophism). Aina ya kwanza huwa ni makosa ambayo au hayajakusudiwa, yametokea kwa bahati mbaya, kwa aina ya pili...
10 years ago
Habarileo06 Nov
Wamsihi Kikwete asiondoke Ikulu bila Katiba mpya
WAZEE wa Mkoa wa Dodoma wamemtaka Rais Kikwete kusimamia mchakato wa kura ya maoni ili Katiba mpya ipatikane kabla ya kumaliza kipindi chake cha uongozi.
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Hotuba ya Kikwete, ubabe wa Sitta vitatukosesha Katiba mpya
WIKI iliyopita Rais Jakaya Kikwete alikwenda bungeni kuzindua Bunge Maalumu, hotuba yake ilitarajiwa kuwaunganisha wajumbe wa Bunge hilo na Watanzania. Kwa bahati mbaya fikra hizo hazikutimia, hotuba ya kiongozi huyo...