Katika utamaduni wenu hakuna? Au kuna ...
Mmmh jamani, haya mambo ya nchi yetu ya tangazania yamezidi. Sasa hata mtoto wa shule amejiunga na wenzie kutangaza nia. Sina ubishi, yeye ana haki sawa na wengine lakini picha sasa imekuwa wazi. Kutangazania, kujitangaza pia, kutengeneza ubia, ili mradi jengo letu tukufu limegeuka kimbilio la wakosefu
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog01 Dec
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuendelea kushirikiana na wadau katika kuendeleza Utamaduni
Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (kushoto) akifungua kituo cha utamaduni wa China nchini Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mkurugenzi wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko.
Baadhi ya wanafunzi wa Kitanzania wanaojifunza lugha ya Kichina katika kituo cha Utamaduni wa China nchini Tanzania wakiimba nyimbo kwa lugha ya...
9 years ago
Bongo528 Sep
Tanzania hakuna management kuna madalali — AT
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Zingatieni maadili katika uigizaji wenu
9 years ago
Dewji Blog02 Nov
Je! Kuna mategemeo chanya katika sekta ya utalii katika serikali ya awamu ya tano?
Dr. John Pombe Magufuli, mshindi wa kiti cha Urais Tanzania.
Ni siku chache tu zimepita tangu Jaji Mstaafu Damian Lubuva, mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza mgombea wa kiti cha Urais Dr.John Pombe Magufuli kuwa ndiye mshindi aliyeongoza kwa kura za asilimia 58.46% ya jumla za kura halali katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2015.
Andrea Guzzoni Meneja mkazi wa JovagoTanzania, ametoa pongezi katika kipindi kizima cha shughuli za uchaguzi ambapo Tume ya Uchaguzi na...
10 years ago
Raia Tanzania27 Jul
‘Kuna kazi ya ziada katika elimu’
MVUTANO na mijadala inayohusu ubora wa sera ya elimu na mitaala ya kufundishia imekuwepo kwa muda mrefu nchini, elimu ya sekondari imeguswa sana kutokana na umuhimu wake.
Inaaminika mwanafunzi ili awe na uelewa mzuri atakapofika chuo kikuu lazima awe na msingi zmuri wa elimu ya sekondari, hiyo ndio siri ya kutiliwa mkazo kwa ngazi hiyo ya elimu.
Hata hivyo, ufaulu ni moja ya changamoto inayoumiza vichwa vya wadau wa elimu, ndio sababu ya kuibuka mjadala wa mfumo upi utumike katika...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-W8TqvUjWGfE/VSi_ZQ0H-lI/AAAAAAAHQOw/uJpow8E81S4/s72-c/otawa.jpg)
TANZANIA YATIA FORA KATIKA MAONESHO YA UTAMADUNI NA UTALII CANADA
10 years ago
Mwananchi17 Jan
Hata katika Halmashauri zetu kuna ‘Panya Road’
11 years ago
Habarileo18 Jul
‘Hakuna miujiza katika kuboresha elimu’
KAMISHNA wa Elimu kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Eustella Bhalalusesa amesema hakuna miujiza katika kuboresha elimu nchini, ikiwa walimu nchini hawajatayarishwa kutoa elimu bora na kujengewa misingi ya kupenda kazi yao.
5 years ago
BBCSwahili13 Apr
Kwa nini kuna shimo lisilo la kawaida katika tabaka la ozoni?