Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kenya kujenga ukuta mpakani Somalia

Waziri wa maswala ya ndani Kenya Joseph Nkaissery amesema kuwa ujenzi wa ukuta katika mpaka wa Kenya na Somalia utaanza wiki hii.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Polisi 5 wauawa mpakani mwa Kenya na Somalia

Idara ya polisi nchini Kenya imesema kuwa polisi 5 na raia 2 wameuawa katika shambulizi mpakani mwa Kenya na Somalia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wakenya 12 wauawa mpakani na Somalia

Kenya imethibitisha kuwa watu 12 wameuawa katika mpaka wa nchi hiyo na Somalia, katika shambulio lililofanywa na Al shabaab.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tunisia kujenga ukuta kati yake na Libya

Tunisia imetangaza kwamba inapanga kujenga ukuta kati yake na Libya kukabiliana na tishio kutoka kwa wanamgambo wa kupigana jihadi

 

9 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Kenya latuhumiwa Somalia

Jeshi la Kenya limetuhumiwa kujihusisha na biashara haramu, badala ya kufanya kazi zinazowahusu nchini Somalia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi wa Somalia:Kenya yaonya UN

Serikali ya Kenya imeupatia Umoja wa Mataifa makataa ya miezi mitatu kuwahamisha wakimbizi wa Somalia wapatao nusu milioni

 

11 years ago

BBC

Kenya detains diplomat from Somalia

A Somali diplomat detained in Kenya is being denied immunity amid a security crackdown in Nairobi, Somalia's ambassador to Kenya tells the BBC.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Kenya kusalia Somalia

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amekariri kuwa wanajeshi wa Kenya watasalia nchini Somalia, kupambana na wapiganaji wa Kiislamu wa Al Shabaab

 

10 years ago

BBCSwahili

Mgogoro wa mpaka Kenya na Somalia

Serikali ya Somalia leo hii itafungua rasmi kesi dhidi ya kenya katika Mahakama ya kimataifa (ICJ) kufuatia mgogoro wa mpaka baina ya nchi hizo mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani