Kenya yawekeza Sh36 bilioni nchini
Kenya imewekeza nchini miradi 518 yenye thamani ya Dola za Marekani 1.7 milioni, sawa na Sh35.7 bilioni na kuongeza nafasi za ajira 55,762, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBENKI YA FINCA YAWEKEZA ZAIDI BILIONI 22
Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Edward Greenwood wakati wa kufunga Taasisi ya mikopo kwa wafanyabiashara wenye kipato cha chini na kuzinduliwa Benki ya Finca katika ofisi za benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Greenwood amesema kuwa watatoa huduma bora kwa watanzania katika maeneo mbalimbali hapa nchini.
Aidha amesema kuwa...
5 years ago
MichuziWaziri Biteko: Sekta ya Madini inaongoza kwa ukuaji wa uchumi nchini,makusanyo yamepaa kutoka Bilioni 39/- hadi Bilioni 58/- kwa mwezi
10 years ago
Dewji Blog26 Apr
IPTL/PAP yawekeza katika mapambano dhidi ya Malaria
Kina mama wajawazito na watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ni sehemu ya walengwa wakuu wa msaada wa vyandarua vyenye viwatilifu ulipotolewa na makampuni ya IPTL na PAP. Hapa kina mama wenye watoto wadogo wakiwa kwenye foleni ya kupokea msaada kata ya Wazo.
Kina baba hawakuwa nyuma katika kuunga mkono jitihada za kupambana na Malaria kwa kuungana na kina mama kupokea msaada wa vyandarua vyenye viwatilifu uliotolewa na Kampuni za IPTL/PAP katika kata za Wazo na Kundunchi.
Mama huyu...
5 years ago
CCM Blog
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya corona: Watanzania 2 wazuiwa kuingia nchini Kenya huku idadi ya wagonjwa Kenya ikifikia 715
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Sh6.8 bilioni hupotea ukataji misitu nchini
5 years ago
Bongo514 Feb
Rais Magufuli aamuru madaktari 258 walioomba kufanya kazi nchini Kenya waajiriwe nchini mara 1
Mnamo tarehe 18 Machi 2017 Ujumbe wa Serikali ya Kenya ukiongozwa na Waziri wa Afya Dkt. Cleopa Mailu uliwasili nchini ambapo ulikutana na Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dhumuni la mkutano huo ulikua kuomba kuajiri, kwa Mkataba, Madaktari wa Tanzania mia tano (500), ili kupunguza uhaba wa Madaktari nchini Kenya.
Mheshimiwa Rais JPM, alikubali ombi hilo.
Mnamo tarehe 18 Machi, 2017, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
11 years ago
Dewji Blog11 May
CRDB yatenga bilioni moja za kuchangia huduma za jamii nchini
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dkt, Charles Kimei.
Na Nathaniel Limu, Iramba
BENKI ya CRDB imetenga kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni moja katika bajeti yake mwaka huu kwa ajili ya kuchangia katika shughuli mbalimbali za uboreshaji wa huduma za kijamii nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dkt, Charles Kimei amesema hayo kwenye hafla ya kukabidhi visima kwa shule tatu za msingi na sekondari mkoani Singida vilivyofadhiliwa na benki hiyo.
Dkt. Kimei amesema fedha zilizotumika kwa...
9 years ago
Dewji Blog16 Nov
Wakulima nchini kunufaika na ruzuku ya vocha za pembejeo yenye thamani ya Bilioni 78!
Baaadhi ya wakulima wadogowadogo nchini wakiwa katika shughuli za kila siku za Kilimo kwa kutumia jembe la mkono. (Picha na Maktba yetu).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza kuanza kutoa vocha za pembejeo ambazo serikali imezipatia ruzuku.
Akizungumza na waandishi wa habari, jijini hapa, Msemaji wa Wizara hiyo, Richard Kasuga amebainisha kuwa, Serikali imetumia shilingi bilioni 78, kwa ajili ya kununua...