Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kenya:Kuzuia usafiri wa usiku sio haki

Mahakama nchini Kenya imesema kuwa agizo la serikali ya Kenya kuzuia usafiri wa usiku wa magari ya abiria ili kuzuia ajali za barabarani linakiuka haki

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

UCHAGUZI UTAKUWA HURU LAKINI SIO WA HAKI WALA HALALI.

Hakuna tena miujiza wala geni katika kufahamu hali halisi ya uchaguzi Zanzibar ikiwa mfuatiaji wa chaguzi zetu zote zilizo pita anaweka kumbukumbu zake vizuri, kuanzia sura,vitendo na kauli za viongozi wetu wote kuanzia wale wa Tume […]

The post UCHAGUZI UTAKUWA HURU LAKINI SIO WA HAKI WALA HALALI. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe KUSHIRIKI MKUTANO WA KUZUIA UHALIFU NA HAKI ZA WAHALIFU Nchini Quatar

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe (Mb.) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Quatar Mh. Dkt. Khalid Mohamed Al Attiyah, walipokutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza mahusiano kati ya Tanzania na Quatar pia kutangaza Fursa za uwekezaji nchini Tanzania. Waziri Membe yupo nchini Quatar kwa madhumuni ya kushiriki mkutano kuhusu Kuzuia Uhalifu na Haki za Waalifu. Mazungumzo yakiendeleaWaziri Membe akiwa Katika picha ya pamoja na Bw. Noel Kaganda Mshauri wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mamia wakosa usafiri Kenya.Kunani?

Mamia ya watu wamelazimika kutembea kwa miguu kuelekea kazini huku magari mengi ya uchukuzi wa umma yakizuiwa kuingia barabarani kutokana na kukosa vidhibiti mwendo.

 

10 years ago

Michuzi

Mwakyembe azungumzia Kenya Kuzuia Magari ya Tanzania

Waziri wa Ushirikiano Afrika Mashariki, Dkt. Harrison Mwakyembe (kati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya swala la serikali ya Kenya kuzuia magari ya kitalii ya yaliyosajiliwa nchini Tanzania kuingia kwenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya.Kulia ni Naibu Waziri wa Ushirikiano Afrika Mashariki,Dkt Abdallah Juma Saadala na kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Joyce Mapunjo. 

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Makatazo mapya katika maeneo ya burudani na usafiri Kenya

Serikali ya Kenya yaweka idadi ya abiria, muda wa kufunga sehemu za burudani na idadi ya wanaoingia maduka makubwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Master J asema sio haki kwa msanii kurekodi wimbo kwa laki 2 na kushoot video South kwa milioni 25

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Master J amekuwa mstari wa mbele kupaza sauti kuhusiana na kutokuwepo kwa usawa kati ya watayarishaji wa muziki na wasanii nchini.Master J ameiambia Bongo5 kuwa kuna watayarishaji ameshaona wanakosa moyo wa kufanya kazi kutokana hali hiyo.“Tanzania maprodyuza ni maskini, eti wasanii wana hela kuliko producers hii ni industry gani,” amehoji Master J. “Kwa sababu hapa hizi sheria zilizopo hazimlindi producer ndo maana anadharaulika. Huyo huyo msanii yupo...

 

5 years ago

CCM Blog

KENYA YAPIGA MARUFUKU USAFIRI KATIKA MIJI ILIYOATHIRIKA NA VIRUSI VYA CORONA

  Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta jana ametangaza kusitishwa kwa safari zote katika maeneo yaliyoathirika na virusi vya corona nchini humo. 
Katika hotuba aliyoitoa , Kenyatta ametaka kusitishwa kwa usafiri wote wa umma kwa njia ya barabara, reli na hata ndege katika kaunti ya Nairobi, Mombasa, Kilifi na Kwale kwa siku ishirini na moja ili kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona. 
Marufuku hayo yameanza kutekelezwa jana saa moja jioni  huko Nairobi na kuanzia siku ya Jumatano huko Mombasa,...

 

9 years ago

Bongo5

Victoria Kimani adai hapewi support na mashabiki wa nyumbani Kenya kama anayoipata Nigeria ambako sio kwao

Kwa mara nyingine tena mwimbaji wa Kenya, Victoria Kimani amezungumzia swala la kukosa support ya kutosha nyumbani Kenya, tofauti na anavyopata Nigeria ambako ameishi kwa muda mrefu licha ya kuwa si kwao. Kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika ujumbe huu mrefu; “I could choose to highlight all the negativity I get from my Fellow Kenyans […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Msichana aliyebakwa Kenya kupata haki

Msichana aliyebakwa na genge la watu 6 nchini Kenya hatimaye huenda akatendewa haki baada ya mwendesha mkuu wa mashitaka kusema kesi yake itasikiliza

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani