Kikapu Zanzibar wakuna vichwa waamuzi
KAIMU Katibu Mkuu wa Chama cha Mpira wa Kikapu Zanzibar (BAZA), Abdallah Hassan, amekiri kuwepo na upungufu katika sekta ya waamuzi kwenye mchezo wao, hali inayosababisha kuwepo malalamiko mengi kila wanapokuwa na mashindano au ligi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 May
Ukawa wakuna vichwa saa 48
>Saa 48 zilizotumika kikaoni kutafuta muafaka wa majimbo yenye utata ndani ya umoja wa vyama vya upinzani vilivyo chini ya Ukawa, zimekatika bila mafanikio na mvutano unaonekana kubakia kwenye majimbo 12 kati ya 239 waliyopanga kugawana.
10 years ago
Mwananchi17 Oct
CCM wakuna vichwa Uchaguzi Serikali za Mitaa
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) kilichoanza jana mjini hapa, pamoja na mambo mengine, kimelenga kuweka mkakati wa ushindi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi ujao.
5 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI AWA GUMZO KILA PEMBE YA DUNIA, MSIMAMO WAKE KUHUSU CORONA WAKUNA WENGI
Na Sultani Kipingo wa Michuzi TVRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekuwa gumzo kubwa sana duniani kwa siku kadhaa sasa toka aongee mjini Chato wakati wa hafla fupi ya kumwapisha Mhe. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Augustine Mahiga aliyefariki Ijumaa iliyopita.Vyombo vya habari vyote vikubwa duniani, kama vile televisheni za CNN, Al Jazeera, Sky News, BBC, CBS, DW, VOA pamoja na magazeti ya New York...
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Mwambusi alalamikia waamuzi
Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema mdudu mbaya anayefanya kiwango cha soka nchini kishindwe kukua ni waamuzi wasiokuwa wadilifu katika uchezeshaji wao hasa kwa timu ndogo zinazoibuka na kuonyesha ushindani mkubwa dhidi ya timu kubwa.
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Waamuzi wamshangaa Kibaden
>Dar es Salaam. Uongozi wa Chama cha Waamuzi wa soka Tanzania ‘FRAT’ umemshangaa Kocha Mkuu wa Simba, Abdallah Kibaden kutokana na shutuma alizokuwa akizitoa juu ya mwamuzi, Mohamed Theofile baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu iliyokutanisha timu hiyo na Kagera Sugar juzi Alhamisi katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
9 years ago
BBCSwahili31 Aug
Nigeria mabingwa kikapu
Timu ya taifa ya Nigeria ya mchezo wa kikapu imetwaa ubingwa wa mpira wa kikapu barani Afrika baada ya kuichapa Angola
9 years ago
Habarileo01 Jan
Waamuzi 16 kuchezesha Mapinduzi
JUMLA ya waamuzi 16 na makamishna wanne wanatarajiwa kuchezesha michuano ya kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza keshokutwa mjini hapa.
11 years ago
BBCSwahili08 Jan
Moyes awalalamikia waamuzi England
Meneja wa Manchester United, David Moyes amewashutumu waamuzi kuwa wanaionea timu yake katika michezo dhidi ya timu pinzani
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania