Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete aahirisha hotuba yake.

Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameahirisha kulihutubia taifa la nchi hiyo kama ilivyokuwa imetarajiwa .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AAGA RASMI UMOJA WA AFRIKA, ATUMIA KISWAHILI KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO

Rais Kikwete: Sera ya Nje itabakia ile ile
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa siasa ya nchi za nje na misingi mikuu ya kuongoza mahusiano ya Tanzania na nchi za kigeni hayatabadilika hata baada ya yeye kuondoka madarakani mwanzoni mwa Novemba, mwaka huu, 2015.
Aidha, Rais Kikwete amewahakikishia viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kuwa yeye anaondoka madarakani lakini Tanzania waliyoizoea na kuijua itabakia pale pale na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Trump aahirisha ziara yake ya Israel

Mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump amesema ameahirisha ziara yake aliyopangiwa kuifanya nchini Israel.

 

10 years ago

CloudsFM

RAY C AAHIRISHA KUSAMBAZA NGOMA YAKE MPYA KUPISHA MSIBA WA AISHA MADINDA

STAA wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’’Ray C’ ameahirisha kuisambaza ngoma yake kwenye vituo vya redio kupisha msiba wa rafiki yake wa siku nyingi marehemu Aisha Madinda,ngoma hiyo inaitwa Nishum Shum tayari ipo kwenye mitandao.

Kupitia Instagram Ray C aliandika hivi...Nenda Dada yangu nenda! Nakumbuka tulikutana Kanisani Tabata ukanishuhudia Kwamba umeweza kuacha madawa ya kulevya na miguu yako imepona Kabisa kwa imani na mola na kwa maombezi ya nabii Joseph, nilipokuona ulivyokuwa...

 

10 years ago

Bongo5

Tunda Man aahirisha kufunga ndoa hadi mwakani baada kuuguliwa na mama yake

Hit maker wa Msambinungwa, Tunda Man amesema alikuwa mbioni kufunga ndoa mwezi wa kumi mwaka huu lakini ameahirisha kutokana na matatizo ya kifamilia. Tunda Man ameiambia Bongo5 kuwa alikuwa afunge ndoa mwezi October lakini kutokana na kuuguliwa na mama yake, ameamua asitishe. “Nina mpango wa kuoa, nilikuwa nataka nifunge ndoa mwezi wa kumi lakini kwa […]

 

10 years ago

Vijimambo

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA


RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.

Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...

 

11 years ago

GPL

WAPINZANI WAIPINGA HOTUBA YA KIKWETE

Wenyeviti wa vyama vya upinzani nchini, kutoka kushoto ni James Mbatia (NCCR-Mageuzi), Freeman Mbowe (Chadema) na Profesa Ibrahim Lipumba (CUF). Dodoma.
Wenyeviti wa vyama vya Upinzani vya Chadema, Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha NCCR-Mageuzi, jana usiku walikutana ili kutoa kauli ya pamoja, kutokana na hotuba ya ufunguzi wa Bunge kwa maelezo kuwa tayari Rais amevuruga mchakato mzima wa kupata Katiba Mpya. Wakati...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hotuba ya rais Kikwete alipovunja bunge

Hotuba ya Rais Kikwete bungeni wakati alipolivunja bunge la taifa hilo rasmi.

 

11 years ago

Mwananchi

Hotuba ya mwezi ya Rais Kikwete yakosolewa

>Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kutoa hotuba yake mwisho wa mwezi, watu mbalimbali wamesema Rais hawezi kukwepa lawama za kuvuruga mchakato wa katiba.

 

10 years ago

Dewji Blog

Live huyu hapa Ngeleja: Hotuba yake yajibu maswali mengi ya wananchi

Mbio za Uraisi

Mbunge wa Jimbo la Sengerema na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja amekanusha taarifa za kukutwa na tuhuma za ufisadi uliopelekea kuvuliwa uwaziri.

Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi nia ya kuwania urais, Ngeleja amesema wananchi wengi wamekuwa wakidhani kuwa aliondolewa katika wadhifa huo kwa kutumia madaraka vibaya jambo ambalo si sahihi.

Ameongeza utaratibu uliofanyika kumuondoa ni utaratibu wa kawaida na kuwa unaweza kutumika hata bila ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani