Kikwete ashauriwa amng’oe Pinda
Rais Jakaya Kikwete, ameshauriwa kumng’oa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ikielezwa sababu kuwa ndiye kikwazo katika utendaji wa Serikali na kwamba akiachwa ataipeleka pabaya Serikali na CCM
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV04 Nov
Rais Kikwete ashauriwa kutafuta suluhu Zanzibari
Baadhi ya Vyama vya Siasa kutoka Upinzani vimemshauri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutafuta suluhisho kuhusu sintofahamu ya Uchaguzi wa Zanzibar ili kuwahakikishia Wazanzibar imani kwa mustakabari wa maendeleo ya Taifa.
Wamesema pamoja na Rais Kikwete kubakiza siku chache za uongozi bado ana nafasi kubwa ya kuhakikisha Wazanzibar wanakuwa na Rais wao kwa njia ya amani na Demokrasia.
Zikiwa zimepita siku tangu Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kufuta matokeo ya urais, Madiwani...
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
DC Muheza ashauriwa na wananchi
Pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Subira Mgalu.
Na Mwandishi wetu
Wakazi wa kijiji cha Kicheba, Muheza, Tanga wamemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo, Subira Mgalu, kuwa makini na viongozi wa kijiji hicho, kwani wanaweza kumgombanisha nao kwa ajili ya malengo yao binafsi.
Mmoja wa wakazi hao, ambaye hakupenda jina lake liandikwe kwenye mtandao wetu, alisema viongozi wa kijiji hicho, wamekuwa wakitekeleza majukumu yao vibaya huku wakidai kuwa hayo ni maagizo kutoka wailayani.
Alisema hivi karibuni...
9 years ago
Bongo Movies13 Nov
Irene Uwoya Ashauriwa Aachane na Siasa
Baada ya Irene Uwoya kushindwa kupata nafasi ya vitu maalumu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baadhi ya mashabiki wa ukurasa wa facebook wa EATV wamemshauri msanii huyo kuachana na masuala ya siasa na kurudi katika tasnia ya filamu.
na kuendelea na kazi yake hiyo ya sanaa ambayo imempa jina kubwa na heshima zaidi.
Mashabiki hao wamepokea tofauti taarifa ya kukatwa kwa jina la Irene Uwoya katika katika vitu maalumu, wapo ambao wameonyesha kuguswa na kuumia Irene Uwoya kushindwa...
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Dk Magufuli ashauriwa kufumua mfumo wa elimu
9 years ago
StarTV11 Nov
Rais Magufuli ashauriwa kuwapa kipaumbele wanawake
Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake nchini wamemshauri Rais John Magufuli kutekeleza ahadi zake kwa vitendo ikiwemo kuteua wanawake zaidi katika nafasi za juu za uongozi.
Wanaharakati hao wamemsisitiza Rais Magufuli kuunda Baraza la Mawaziri lenye sura za usawa wa kijinsia ili kuondoa mfumo dume katika uamuzi.
Wakati Bunge la 11 likitarajiwa kuanza Novemba 17 mwaka huu, wananchi wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu baraza jipya la mawaziri, ambapo wanaharakati wa kutetea haki za wanawake...
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Suarez amng'ata Chiellini
9 years ago
Bongo516 Dec
Kim Kardashian ashauriwa na madaktari asizae mtoto wa tatu!

Kuna uwezekano Kanye West na Kim Kardashian wasipate mtoto mwingine wa tatu kutokana na madaktari kumshauri Kim asibebe ujauzito mwingine.
Kwa mujibu wa TMZ, madaktari wamemshauri Kim K kutoongeza mtoto mwingine tena kutokana na kupata tatizo linalofahamika kwa kitaalam kama ‘placenta accreta’.
Ushauri huo umetolewa baada kupata matatizo wakati wa kujifungua watoto wake wawili North na Saint. Wamesema akipata ujauzito mwingine kwa sasa ni kuhatarisha maisha yake pamoja na mtoto.
Chanzo cha...
11 years ago
Mtanzania28 Jul
Mtuhumiwa amng’ata mdomo askari

Eneo la katikati ya Jiji la Dar es Salaam
Na Faraja Masinde, Dar es Salaam
KARANI wa Kampuni ya Mabasi ya abiria yaitwayo Happy African, Eliud Mwanyonga (40), amemng’ata mdomo askari wa kikundi cha ulinzi shirikishi aliyefahamika kwa jina moja la Ernest.
Tukio hilo lilitokea Ijumaa iliyopita saa 12 alfajiri katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani wakati askari huyo alipokuwa katika shughuli zake za kila siku.
Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, James Zebedayo, aliliambia MTANZANIA Jumatatu...
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Shabiki amng'ata mwenziwe Kenya