Kikwete awabana viongozi
RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kwenda shule, wanakwenda bila kukosa, hata kama hawana uwezo wa kumudu mahitaji maalumu ya shule.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 May
Simbachawene awabana Tanesco
10 years ago
Habarileo30 Aug
RC awabana watendaji maabara za sekondari
MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone amewataka viongozi wa CCM na watendaji katika Manispaa ya Singida kujiandaa kuachia ngazi kwenye nafasi zao iwapo watashindwa kukamilisha ujenzi wa maabara za shule za sekondari katika maeneo yao ifikapo Oktoba 15, mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi17 May
Mbunge awabana mawaziri wawili, DC Kiteto
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-RbYsQKeTGC8/U-JSpLYST_I/AAAAAAACm6Y/kpwDAWUm-S0/s1600/w1.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RbYsQKeTGC8/U-JSpLYST_I/AAAAAAACm6Y/kpwDAWUm-S0/s72-c/w1.jpg)
RAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-RbYsQKeTGC8/U-JSpLYST_I/AAAAAAACm6Y/kpwDAWUm-S0/s1600/w1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/--99HsdIinyU/U-JSpsBc8zI/AAAAAAACm6c/WRZHxk6HhCQ/s1600/w2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DzOJdcH2t3Q/U-JSzBmSTzI/AAAAAAACm64/qIQOvCLbufI/s1600/w4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-YPY62IRGZGM/U-JSwO_f7GI/AAAAAAACm6w/Zq2FHZgvBbQ/s1600/w5.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-jUW7OXuce9k/U-JS1Ohnr9I/AAAAAAACm7A/KnShrBQRpyA/s1600/w6.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Kikwete na viongozi wa dini
“TUNATAKA katiba ya nchi na si ya chama chochote,” alisikika akisema Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro wakati anaapishwa. Je, maneno hayo ni kutoka moyoni au mdomoni? Ni kweli katiba tunayoitaka si...
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Kikwete awaonya viongozi wa dini
Na Kadama Malunde, Shinyanga
RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa dini kutoruhusu siasa kufanyika kwenye makanisa yao kwani hali hiyo italifanya taifa liingie kwenye machafuko.
Aliyasema hayo jana wakati wa ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu mpya wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Liberatus Sangu, iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mama Mwenye Huruma la Ngokolo mjini hapa na kuongozwa na Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo.
Rais Kikwete...
9 years ago
Habarileo14 Oct
Kikwete awajia juu viongozi wanaoangusha michezo
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa viongozi wengi wa michezo hawana mpango wa kuendelea michezo na badala yake wako katika nafasi hizo kwa ajili ya kusaka sifa zao binafsi.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vqmvLYk3U64/U_zsypEDbvI/AAAAAAAGCkM/g1mGrrScTII/s72-c/D92A7195.jpg)
RAIS KIKWETE KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA -TCD
![](http://3.bp.blogspot.com/-vqmvLYk3U64/U_zsypEDbvI/AAAAAAAGCkM/g1mGrrScTII/s1600/D92A7195.jpg)
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ameahidi kuonana na Viongozi wa Vyama vya Siasa vinavyounda Kituo cha Demkrasia Tanzania(TCD) kabla ya mwisho wa wiki kwa lengo la kushauriana.
Kauli hii imetolewa na Mwenyekiti wa TCD,Mhe. John Cheyo mjini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Bunge.
Mhe. Cheyo alisema Rais Kikwete amekubali kuonana nao kufutia kikao chao walichokaa kwa pamoja...