KILAINI, NZIGIRWA, TWIMANNYE NITAUNGAMA NIKIWATAZAMA USONI
![](http://api.ning.com:80/files/4t8Bu5s6lgRHKn2c64Ck8yrRBAic*Af9UkvsiMxgd-kdb4ujp4BQikmX8VaLQtR0G6LEGQ1D1ur*M*uSmK5dCrD*Jt1e9vh6/unnamed22.jpg?width=650)
Baba Askofu Methodius Kilaini akitoa huduma kanisani. UKIHOJI dhambi za viongozi wa dini harakaharaka utaambiwa fuata mafundisho yao usifuate matendo. Hili ni kinyume na Mtume Paul aliyefundisha waumini wake kuwa wamfuate yeye kama alivyomfuata Yesu. Kwa kuwa dini ni muhimu kwenye kaya yangu sibishi sana katika hilo, lakini kuhusishwa kwenye fedha chafu kwa viongozi wa dini Askofu Methodius Kilaini, Euesebius Nzigirwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Askofu Kilaini, Nzigirwa wazungumzia tuhuma
9 years ago
Bongo528 Dec
Ripoti: Gonorrhoea kutotibika siku za usoni
![0EBDC04700000514-3375525-Dame_Sally_Davies_has_reportedly_told_doctors_that_the_strain_fi-a-2_1451238104073](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/0EBDC04700000514-3375525-Dame_Sally_Davies_has_reportedly_told_doctors_that_the_strain_fi-a-2_1451238104073-300x194.jpg)
Gonorrhoea ipo kwenye hati hati ya kushindwa kutibika siku za usoni, kwa mujibu wa daktari mashuhuri wa nchini Uingereza.
Dame Sally Davies
Kwa mujibu wa daktari huyo, Dame Sally Davies ugonjwa huo sasa hautibiki tena kwa antibiotic ya azithromycin ambapo ripoti za wagonjwa walioathirika zimeripotiwa huko Macclesfield, Oldham na Scunthorpe.
Amesema Gonorrhoea imeendelea kuwa king’ang’anizi kwa antibiotics nyingi mpya. Mwaka jana pekee watu 35,000 waliripotiwa kuugua ugonjwa huo nchini...
10 years ago
Bongo Movies25 Jul
JB:Namuona Wema Akishika Nyadhifa Kubwa Siku za Usoni
Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram amempongeza na kumpa moyo staa mwenzake Wema Sepetu kwa kumtabilia makubwa siku za usoni baada ya staa huyo kukosa kura za kutosha kwenye kinyang’anyiro ya ubunge wa viti maalum kupitia chama cha mapinduzi.
JB aliandika;
Watu wote masikio yao yalikuwa singida leo...kwa sababu moja tu....wema sepetu...mikoa mingine itapita wala watu hawatajua kama majina yametangazwa....mwanangu @wemasepetu. wewe ni wa...
10 years ago
Bongo Movies12 May
Kajala Anaendelea Vizuri Baada ya Kupigwa Chupa Usoni
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja anaendelea vizuri baada yakupigwa chupa na kijana mmoja usiku ya kuamkia jana wakiwa kwenye show ya mwanamziki Mabeste aliyoiandaa ili kuchangisha pesa kwa ajili ajili ya matibabu ya Mkeo.
Leo kupitia ukurasa wake mtandaoni, kajala ameweka picha hiyo hapo juu na kuandika “Maisha yanaendelea au sio......” kuonyesha kuwa yupo poa na anaendelea na masiha yake yakawida.
Akilezea tukio hilo la kupigwa na chupa hapo jana alipofanya mahojiano na mtangazaji...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pXWI1kxUZH5doByiFTOS2rGNBHOSzWa9KBY2k**9nV-fmSS*Intj8*BEm4xL0hfPvnwpAVGp9SMdR9-4bfSBzHe2dYNZkSQ0/mume.jpg)
AMWAGIWA MAFUTA YA MOTO USONI, KISA MUME WA MTU!
10 years ago
Habarileo09 Nov
Ammwagia mumewe maji ya moto usoni, sehemu za siri
MKAZI wa Kitongoji cha Mfinzi kijiji cha Chala wilayani Nkasi, Zelena Kiozya (55) anadaiwa kumuua mumewe Evod Teola (62) kwa kummwagia maji ya moto mwilini mwake.
10 years ago
GPL![](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/Nzigilwa-bishop.png?width=650)
ASKOFU NZIGIRWA ASICHUME DHAMBI JUU YA DHAMBI
10 years ago
TheCitizen16 Sep
Kilaini backs CA suspension
10 years ago
TheCitizen29 Dec
TEC ‘powerless’ on Kilaini, Nzigilwa