Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kilichompata Brandts si kipya kwa makocha

KUNA usemi juu ya makocha hasa wa soka ambao japo unaleta ukakasi ukiusikia kwa vile haupendezi, lakini ndio ukweli wa mazingira halisi ya kazi ya ukocha; kwamba huajiriwa kwa ajili...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Kavumbagu akabidhiwa kwa Brandts Yanga

Didier Kavumbagu. Na Lucy Mgina
UONGOZI wa Yanga umesema mtu atakayeamua hatma ya mshambuliaji wa kimataifa wa klabu hiyo, Didier Kavumbagu, raia wa Burundi kubaki au kuondoka ni kocha Ernie Brandts. Kavumbagu aliyeifungia mabao matano Yanga kwenye mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara, amebakiza mkataba wa miezi sita tu. Akizungumza na Championi Jumatano, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Abdallah Bin Kleb, alisema...

 

5 years ago

CHADEMA Blog

11 years ago

Michuzi

makocha wa Timu ya Barcelona kutoa mafunzo ya makocha wa Tanzania

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda (Katikati) akiongea na Wanahabari (Hawapo pichani) kuhusu makocha wa Timu ya Barcelona kutoka nchini Hispania ambao wako nchini kwa ajili ya mafunzo ya makocha wa Tanzania yatakayofanyika kwa muda wa siku mbili.Wengine picha toka kulia ni Balozi wa Spain nchini Mh. Luis Manuel Ceuesta Civis, Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,Kushila Thomas,Kocha Isaac Oriol Guerrero...

 

9 years ago

Vijimambo

MALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO


RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.  

 Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha kufanyia kazi walichojifunza.  

“Hiki mlichokipata kwenye mafunzo haya mnatakiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tarimba akabidhi vyeti kwa makocha

WANG’AMUZI wa vipaji kwa ajili ya timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, jana walipatiwa vyeti na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika kutambua umuhimu wa kazi waliyofanya kuanzia hatua...

 

9 years ago

Habarileo

Malindi yamaliza Makocha kwa ushindi

KLABU ya soka ya Malindi imetoka kidedea mbele ya timu ya New Afrika kwa ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa Kombe la Makocha uliochezwa juzi Uwanja wa Amaan mjini Unguja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makocha wapya Yanga waanza kwa mkwara

MAKOCHA wapya wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa na Juma Pondamali ‘Mensah’ wameanza kukinoa kikosi cha klabu hiyo huku wakiwaonya wachezaji hasa watovu wa nidhamu. Pondamali na Mkwasa wameanza kuinoa timu...

 

11 years ago

GPL

Brandts:Nimechanganyikiwa

Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga, Ernie Brandts amesema kiasi fulani hafurahii na inamchanganya kuona amefukuzwa kazi na anaendelea kubaki nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Brandts amesema inamuwia vigumu kuona anaendelea kubaki jijini Dar es Salaam.
“Wangeweza kunipa malipo yangu ili niende mapema. Wachezaji wanajua mimi nimefukuzwa Yanga, lakini vipi leo naendelea kufanya...

 

11 years ago

GPL

Brandts atimuliwa Yanga

Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu KOCHA Ernie Brandts hana chake tena Yanga na ndani ya siku mbili, uongozi wa klabu hiyo utatangaza kumtimua.
Taarifa za uhakika ambazo Championi Jumatatu limezipata kutoka ndani ya Yanga, zimeeleza Brandts ameshafukuzwa kazi.
“Kweli Brandts ameonekana hafai na wakubwa walikaa jana kikao mara tu baada ya mechi ya Simba na Yanga, wamefikia hatua ya kumuachisha kazi. “Mimi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani