Kilimanjaro Stars warejea kapa
TIMU ya Kilimanjaro Stars inatarajia kurejea leo nchini baada ya kutolewa katika robo fainali ya michuano ya Kombe la Chalenji. Msemaji wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Baraka Kizuguto alisema jana kuwa, timu hiyo itatua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere saa saba mchama.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Sunday Oliseh atoka kapa kwa Mkwasa
NA BADI MCHOLO, DAR ES SALAAM
KOCHA wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, anawaumiza vichwa wapinzani wake, timu ya Nigeria ‘Super Eagles’ baada ya kupata ugumu wa kushindwa kuelewa falsafa ya kocha huyo mzawa, badala yake wamebaki kutumia muda mwingi kuangalia video za michezo ya zamani.
Kocha wa Nigeria, Sunday Oliseh, licha ya kuwa katika nafasi nzuri ya pili katika kundi G linaloundwa na timu za Misri, Chad na Taifa Stars, amekuwa akikesha kuangalia video za Stars na...
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Kilimanjaro Stars yaibeba Ethiopia
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Kilimanjaro Stars ya Tz kurejea leo
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Kilimanjaro stars yachanja mbuga Cecafa.
9 years ago
Habarileo24 Nov
Kilimanjaro Stars karata muhimu leo
TIMU ya soka ya Taifa ya Bara, Kilimanjaro Stars leo itarusha karata yake ya pili kwenye michuano ya Kombe la Chalenji itakapomenyana na Rwanda ‘Amavubi’ mjini Awassa, Ethiopia.
9 years ago
Habarileo30 Nov
Karata muhimu kwa Kilimanjaro Stars leo
TIMU ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kili Stars’ leo inashuka kwenye dimba la Awassa nchini Ethiopia kuwakabili wenyeji Ethiopia ukiwa ni mchezo wa robo fainali wa kusakata tiketi ya kucheza nusu fainali ya michuano ya Chalenji, inayoendelea nchini humo.
9 years ago
MichuziKOCHA KIBADENI KUANZA KUINOA KILIMANJARO STARS
Kilimanjaro Stars inashiriki michuano hiyo mikongwe kabisa barani Afrika, ambapo jumla ya nchi 12 wanachama wamedhibitisha kushiriki michuano hiyo itakayomalizika Disemba 6 mwaka huu.
Nchi zingine zinazoshiriki michuano hiyo...
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Hongera Kilimanjaro Stars kwa soka safi
9 years ago
MichuziKIKOSI CHA TIMU YA KILIMANJARO STARS KUREJE KESHO
KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kinatarajiwa kuwasili kesho mchana jijini Dar ess alaam kikitokea nchini Ethiopia kilipokuwa kinashiriki michuano ya Kombe la Chalenji kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati.
Kilimanjaro Stars imetolewa katika hatua ya robo fainali na wenyeji Ethiopia kwa mikwaju ya penati, baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika dakika 90 za mchezo huo, na wenyeji kushinda kwa penati 4-3.
Timu ya Kilimanjaro Stars inayonolewa na kocha Abdallah...