Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Killo: Tutaitumikia Malamba Mawili kwa kiwango ili wengine watuige

Ahmed Waziri Killo ndiye Mwenyekiti mpya mteule wa Mtaa wa Malamba Mawili, Dar es Salaam. Anatangazwa mshindi baada kumbwaga mpinzani wake Anatory Mulokozi waa CCM kwa zaidi ya kura 300. Yeye aligombea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Watu watatu wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika ajali ya magari mawili

Na Abdulaziz Lindi
Watu watatu wamefariki Dunia baada ya Magari mawili yenye tela kila moja kuacha njia na kupinduka na kufasabisha vifo vya watu hao na kujeruhi wengine wawili katika ajali iliyotokea Jana Huko Tarafa ya Rondo wilaya ya Lindi Mkoani Lindi.
Ajali hiyo Iliyohusisha gari aina ya HOWO lenye Usajili T270BZU na Tela na T260AZU Pamoja na Lori aina HOWO T871 BTH Tela T 626 BTT yote yaliacha njia
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi kamishna msaidizi Renatha Mzinga amethibitsha...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunaegesha basi mbele ya goli letu ili wengine wasifunge bao

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Michuzi

TIMU ZA FC BONGO NA FC KILIMANJARO ZILITOKA SARE YA MABAO MAWILI MAWILI KATIKA MECHI ILIYOFANYIKA KTK JIJI LA HELSINKI NCHINI FINLAND

Mechi ilianza kwa kasi na dakika 1 tu ya mchezo fc bongo walipata bao lao la kwanza kwa mkwaju wa penalt lililofungwa na mchezaji wao machachari Abass Kunha.
Kilimanjaro ilikuja juu na kufanikiwa kusawazisha kwa kona iliyopigwa na Richard Joseph ambayo ilimshinda nguvu kipa wa fc Bongo baada ya purukushani ndani ya lango hilo.
Kipindi cha pili kilianza kwa nguvu na kwenye dkk ya 80 Abass Kunha aliongeza bao la pili, vijana wa kilimanjaro waliongeza nguvu na baada ya dkk 5 wakafanikiwa kukomboa...

 

10 years ago

Vijimambo

KIWANGO CHA NGASSA KIMESHUKA, LAKINI NI MCHEZAJI MWENYE AKILI, LAZIMA ATARUDI KATIKA KIWANGO CHAKE-PLUIJM

KOCHA mkuu wa Yanga SC, Mholanzi, Johannes Hans van der Pluijm anaamini Mrisho Ngassa atarudi katika kiwango chake cha zamani.
Pluijm alikiri wazi kuwa nyota huyo ameshuka kiwango kwa sasa na ndio maana anaanzia benchi katika mechi mbalimbali, lakini anaonesha juhudi kubwa mazoezini kitendo kinachoonesha wazi ametambua alipo sasa.
“Kiwango cha Ngassa kimeshuka, lakini ni mchezaji mwenye akili, lazima atarudi katika kiwango chake”. Alisema Pluijm.Kocha huyo anayependa soka la kushambulia...

 

11 years ago

GPL

Yanga watoa masharti mawili kwa Waghana

Hans van Der Pluijm. Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, kurejea nchini akitokea Ghana alikokuwa ameenda kwa ajili ya kutafuta wachezaji, Yanga wametoa masharti magumu. Kocha huyo ambaye baada ya mkataba wake na Wanajangwani hao kumalizika, aliamua kutimka zake, alisema anakwenda huko kwa ajili ya kuitafutia timu hiyo wachezaji watakaoziba nafasi ya Didier Kavumbagu na...

 

10 years ago

CloudsFM

ZUMA, KIKWETE WAKUTANA KWA MASAA MAWILI

RAIS Jakaya Kikwete amekutana na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma na kufanya mazungumzo ya ndani na kiongozi huyo aliyewasili nchini juzi.
Rais Zuma aliwasili Ikulu Dar es Salaam jana majira ya saa 4 asubuhi na kupokewa na Rais Kikwete kabla ya kufanya mazungumzo hayo yaliyochukua takribani saa moja na dakika 45.

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Dar es Salaam jana, ilibainisha kuwa mazungumzo baina ya viongozi hao wawili, yalihusu uhusiano kati ya Tanzania na Afrika...

 

9 years ago

StarTV

Diwani CHADEMA Ubungo kizimbani kwa makosa mawili

 

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imempandisha Kizimbani Diwani wa Kata ya Ubungo Kisiwani kwa tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo CHADEMA Boniphace Jacob kwa makosa mawili la kwanza likiwa ni kumshambulia Mwandishi wa Habari wa Gazeti wa Uhuru Christopher Lissa.

Kosa la pili analokabiliwa nalo ni kuharibu Kamera ya Picha Mnato aina ya Nicon yenye thamani ya Shilingi Milioni Nane, Mali ya Kampuni ya Uhuru Publisher Limited.

Katika Kesi hiyo Wakili wa Serikali,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jaji Lubuva, NEC ni huru kwa kiwango gani?

HIVI karibuni asasi ya walimu wa somo la uraia nchini (CETA)  ikisihirikiana na asasi kutoka Ujerumani yenye makazi nchini ya Konrad Adenauer Stiftung (KAS) waliandaa kongamano la siku moja, ili...

 

10 years ago

Vijimambo

SAMATTA: sikubali, kwa kiwango changu Ulaya pananihusu

Mbwana Samatta By Gift Macha (email the author) 
Straika huyo amejipatia umaarufu mkubwa miaka ya hivi karibuni kutokana na umahiri wake uwanjani hasa katika kufunga mabao. Anayafanya haya akiwa na klabu yake ya TP Mazembe pamoja na timu ya Taifa Tanzania.HAKUNA ubishi kwamba straika wa TP Mazembe na Taifa Stars, Mbwana Samatta, ndiye mwanasoka mahiri wa Tanzania katika zama hizi. Wapo wengi wanaotamba, lakini Samatta ni funga kazi kwa sasa.
Straika huyo amejipatia umaarufu mkubwa miaka ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani