Kilombero Sugar yaipongeza ATE kwa kuwapa hamasa waajiriâ€
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa (Kulia) akimkabidhi kombe Meneja masoko wa kampuni ya sukari ya Kilombero Ephraim Mafuru baada ya kuibuka washindi wa tatu wa Jumla katika tuzo za muajiri bora wa mwaka zilizo andaliwa na chama cha waajiri Tanzania (ATE). Hafla hiyo ilifanyika Dar-es-Salaam, mwishoni mwa wiki.
Kampuni ya Kilombero Sugar Ltd imesema kuwa tuzo za Mwajiri Bora zinazotolewa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), zinachangia kwa kiasi kikubwa kuleta...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKilombero Sugar: Tuzo za ATE ni hamasa kwa waajiri
Kampuni ya Kilombero Sugar Ltd imesema kuwa tuzo za Mwajiri Bora zinazotolewa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), zinachangia kwa kiasi kikubwa kuleta...
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Wema Aendelea Kuwapa Hamasa Wanawake,Chukua Hii Kutoka Kwake
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu mwenye followers zaidi ya laki nne kwenye mtandao wa Instagram kwa siku za hivi karibuni ameonyesha njia kwa mastaa na watu wengine baada ya kuamua kuanza kuposti jumbe mabalimbali zenye manufaa kwa jamii na sio majungu ambayo hayana faida yoyote, Wema amekua akiachia jumbe hizo na huku akitumia tag mbili za BeWemaFanyaWema na 2015WalkToRemember.
Amekuwa akiandika vingi kuhamasisha wanawake kwenye kujitafutia maendeleo huu ni muendelezo tu....
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Je zawadi inaongeza hamasa kwa wanafunzi?
9 years ago
StarTV24 Dec
Zoezi la usafi 9 Disemba la Maguful laongeza hamasa kwa wananchi
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Wazee na Watoto imesema zoezi la usafi lililofanyika nchi nzima Desemba 9 mwaka huu ikiwa ni agizo la Rais Magufuli la kuadhimsiha sherehe za Uhuru kwa kufanya usafi, limeibua hisia kubwa kwa watanzani katika kuhamasika kutunza mazingira.
Wizara imesema kuwa zoezi hilo limepunguza kasi ya kipindupindu na jamii imetambua umuhimu wa usafi hasa maeneo ya vijijini ambako wengi hudhani suala la usafi linafanyika mjini pekee.
Desemba 9 mwaka huu ilikuwa ni siku...
9 years ago
Raia Mwema16 Dec
Baraza jipya la mawaziri, mkorogo usio hamasa kwa mabadiliko
RAIS John Pombe Magufuli (JPM) amekwishaunda Wizara 18 za Serikali yake na kutangaza mawaziri wa
Joseph Mihangwa
9 years ago
StarTV24 Nov
Zaidi ya tani 250 za miwa zatupwa Kilombero kwa  Madai Ya Kutofaa Kwa Uzalishaji
Wakulima wa miwa wilayani kilombero wamepata hasara ya zaidi ya shilingi Milioni 30 baaada ya kiwanda cha sukari cha ILOVO kilichopo wilayani humo kukataa kuchukua tani 250 za miwa iliyovunwa kwenye mashamba ya wakulima hao, kwa madai kuwa miwa hiyo imekaa muda mrefu baada ya kuvunwa na hivyo kutofaa kwa uzalishaji wa sukari.
Wakulima wanaulalamikia uongozi wa kiwanda hicho kwa hasara waliyopata kwani novemba 14 kiwanda kiliagiza wakulima kuanza kuvuna miwa yao , ambapo wakulima...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qWaXDknmMoc/XmN56mpKT-I/AAAAAAAEGHQ/oGZ1S0Y6_ncBz42QkZUFkucsfHoRtZuIQCLcBGAsYHQ/s72-c/71df1999-7f84-43e8-8de8-87a92892b7a5.jpg)
Kusherehekea wiki ya wanawake duniani Vodacom yatoa hamasa kwa watoto wa kike kujifunza Tehama
![](https://1.bp.blogspot.com/-qWaXDknmMoc/XmN56mpKT-I/AAAAAAAEGHQ/oGZ1S0Y6_ncBz42QkZUFkucsfHoRtZuIQCLcBGAsYHQ/s640/71df1999-7f84-43e8-8de8-87a92892b7a5.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/e17805d8-71fb-4bf2-99a2-5ac51c2778e9.jpg)
10 years ago
Habarileo11 Apr
ALAT yaipongeza MSD kwa kazi nzuri
BOHARI ya Dawa nchini (MSD) imepongezwa na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), kwa kufikia asilimia 85 ya upatikanaji wa dawa, pamoja na kufanikisha upelekaji wa dawa na vifaa tiba moja kwa moja hadi ngazi ya kata.
10 years ago
Dewji Blog15 Feb
Tanzania yaipongeza China kwa misaada ya kimaendeleo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatafa Bernard Membe akitoa hotuba kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika sherehe ya mwaka mpya wa Kichina jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.
Na Magreth Kinabo na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatafa Bernard Membe, ameipongeza Serikali Jamhuri ya China kwa msaada wake wa kuhakikisha Tanzania imefungua idara ya maalum...