Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kina Warioba walipwa kiinua mgongo Sh640 mil

>Serikali imeanza kulipa kiinua mgongo kwa wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Wariona na jumla ya Sh640 milioni zitalipwa kwa watu 32.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kiinua mgongo cha wabunge kujadiliwa leo

Spika wa Bunge, Anna Makinda.KATIKA jitihada za kuhakikisha wabunge wa CCM na wachache wa upinzani walioko bungeni wanamsikiliza Rais Jakaya Kikwete akihutubia Bunge leo, Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai amelazimika kuliahirisha hadi leo asubuhi kujadili suala la kiinua mgongo chao.

 

10 years ago

Habarileo

Waomba kulipwa kiinua mgongo kama madiwani

WAJUMBE wanaounda mabaraza ya miji midogo nchini, wameiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuwalipa kiinua mgongo wanapomaliza muda wao, kama ilivyo kwa madiwani katika halmashauri za wilaya.

 

9 years ago

Mwananchi

Mameya, madiwani kulipwa kiinua mgongo Sh52 bilioni

Mameya, wenyeviti wa halmashauri na madiwani nchini watalipwa jumla ya Sh51.95 za kiinua mgongo mwaka huu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Walipwa fidia ya mil 263/- kupisha ujenzi wa chuo

DSC00832

Mkurugenzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania tawi la Singida, Hassanal Issaya akiwa ofisini kwake akitekeleza majukumu yake ya kila siku.

Na Nathaniel Limu, Singida

CHUO cha utumishi wa umma  Tanzania tawi la mkoa wa Singida,limetumia shilingi 263 milioni kulipa fidia kwa wakazi wa kijiji cha Sasu kata ya Mungumaji manispaa ya Singida,ili waweze kupisha ujenzi wa chuo hicho mwaka wa fedha ujao.

Hayo yamesemwa  na Mkurugenzi wa chuo hicho, Hassanal Issaya, wakati akizungumza na MOblog...

 

10 years ago

Mtanzania

…Awataka kina Warioba waache biashara yao

Jaji Joseph Warioba

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam

SIKU tatu baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kupigwa na watu waliodaiwa kuwa ni wafuasi wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amewaonya watu na vikundi vinavyoanza kufanya kampeni dhidi ya Katiba inayopendekezwa akisema muda wa kufanya hivyo kwa mujibu wa sheria haujafika.

Mdahalo wa kujadili katiba inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere ulivunjika mwishoni mwa...

 

10 years ago

Vijimambo

HABARI KWA KINA VURUGU ALIYOFANYIWA JAJI WARIOBA

Jaji mstaafu Joseph Warioba akitolewa nje baada ya kutokea vurugu katika mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Mwalimu Nyerere kwenye wa ukumbi wa Blue Pear jijini Dar es Salaam jana.Picha: Halima Kambi
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, jana alifanyiwa vurugu kubwa zilizosababisha kuvunjika kwa kongamano la kujadili mambo ya msingi ya kuangaliwa katika Katiba inayopendekezwa.

Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) na...

 

9 years ago

Michuzi

Afya ya Uti wa Mgongo ni Afya ya Mgongo - Dk. Yash Gulati, Apollo Hospital

Dr Yash Gulati, Senior Spine and Joint Replacement Surgeon at Apollo Hospitals; DelhiNa Mwandishi Wetu,
Maendeleo katika njia za ufanyaji kazi pamoja na matumizi ya teknolojia yanavyokuwa kwa kasi yanaweza kutufanya tuamini tumepunguza maumivu katika viungo vyetu vya mwili ila si hivyo. Tunatumia magari, mitandao mbalimbali ambayo vizazi vilivyopita havijawahi kuota kutumia. Mabadiliko haya mapya katika maisha yetu yenye msisitizo mdogo katika uimarishaji wa viungo umechukua hatamu na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Afya ya Uti wa Mgongo ni Afya ya Mgongo – Dk. Yash Gulati, Apollo Hospital

Dr Yash Gulati, Senior Spine and Joint Replacement Surgeon at Apollo Hospitals; Delhi.Na Mwandishi Wetu,

Maendeleo katika njia za ufanyaji kazi pamoja na matumizi ya teknolojia yanavyokuwa kwa kasi yanaweza kutufanya tuamini tumepunguza maumivu katika viungo vyetu vya mwili ila si hivyo. Tunatumia magari, mitandao mbalimbali ambayo vizazi vilivyopita havijawahi kuota kutumia.

Mabadiliko haya mapya katika maisha yetu yenye msisitizo mdogo katika uimarishaji wa viungo umechukua hatamu na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima Ruvuma walipwa bil. 6/-

SERIKALI kupitia Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kituo cha Songea, mkoani Ruvuma imewalipa wakulima sh bilioni 6.6 walizokuwa wakidai baada ya kuuza mahindi yao. Mkuu wa Mkoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani