Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kingunge anusa mchezo mchafu urais ndani ya CCM

Mwanasiasa mkongwe na kada wa CCM, Kingunge Ngombare Mwiru (Pichani) amesema anahisi kuna mchezo mchafu unapangwa kwenye mchakato wa kupata mgombea wa urais wa chama hicho tawala, akitaja idadi kubwa ya waliojitokeza kuwa ni ishara mbaya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Chadema yaituhumu CCM kwa Mchezo Mchafu!

a Bryceson Mathias, Bukene
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Nzega, Shekhe Omari Omari, amekituhumu Chama cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi wake Kisiasa wilayani Bukene, akidai wamebaini njama za kuwabambikizia Kesi wanachama wa Chadema ili kuwatisha.

Akizungumza na Tanzania Daima Shekhe Omari ambaye pia ni Shekhe wa Wilaya ya Bukene na Diwani wa Kata Bukene (Chadema) alisema, kutokana na CCM kuanza kuweweseka na Ushindi wa Chadema kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kingunge amdhamini Lowassa, asema mgombea urais wa CCM lazima akubalike na makundi yote, ndani na nje ya chama

Lowassa_Ilala

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungian wananchi wakati akiwasili ofisi za CCM kata ya Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, kutafuta wadhamini. (Picha na K-VIS MEDIA).

Kingunge udhamini

Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombali Mwiru, (kushoto), akijaza fomu za kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015, wakati Mh. Lowassa, alipotua jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Siasa sio mchezo mchafu bali CCM ndiyo yenye siasa chafu

SIASA safi ni kitu chema na siasa ni maisha na naamini Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai atakubaliana na mimi asilimia mia kwa hili na kama si kweli hapana shaka...

 

10 years ago

GPL

BDF yafanya mchezo mchafu

Kocha msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa. Na Mwandishi Wetu KIKOSI cha BDF XI kimeshitukiwa kutokana na uamuzi wake wa kutangaza kutaka kujiondoa katika michuano ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga kwa madai ya ukata. Ratiba inaonyesha Yanga itaanza kuivaa BDF, Februari 14 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Shirikisho la Soka Afrika (Caf), limeingilia na kuonya kwamba BDF XI inachotakiwa ni… ...

 

10 years ago

Mwananchi

DC abaini mchezo mchafu wa wauguzi

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ahmed Kipozi amesema atawachukulia hatua baadhi ya wahudumu wa Hospitali ya Bagamoyo wanaolalamikiwa na wagonjwa kuwa huwalazimisha kwenda kununua dawa nje wakati zinapatikana hospitalini hapo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Kilosa wabaini mchezo mchafu

UONGOZI mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jimbo la Kilosa mkoani Morogoro umeanza kazi kwa kunasa makada wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Magomeni wilayani hapa...

 

11 years ago

Mwananchi

TFF, Yanga katika mchezo mchafu

>Uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linadaiwa kushirikiana na uongozi wa Yanga kukusanya mapato kinyemela kukwepa kulipa deni la    madai ya wachezaji wake wa zamani.

 

10 years ago

Mtanzania

Mchezo mchafu kesi za dawa za kulevya

MADAWANa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KESI 18 za dawa za kulevya zilizokuwa zikisikilizwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam zinafutwa kwa sababu zilisajiliwa kimakosa katika katika mahakama hiyo na washtakiwa wanapandishwa upya kizimbani.
Hayo yalibainika jana baada ya kesi nne kufutwa na kufanya idadi ya kesi hizo kufikia nane baada ya nne nyingine kufutwa juzi, ambapo washtakiwa walisomewa upya mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Kesi zote...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge EALA wafichua mchezo mchafu

WABUNGE saba wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, wamejiondoa kwenye jaribio la kutaka kumuondoa madarakani Spika wa Bunge hilo, Margareth Zziwa, baada ya kubaini kulikuwa na mchezo mchafu nyuma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani