Kinondoni yashinda kesi ya Oysterbay Villa
MANISPAA ya Kinondoni imeshinda kesi iliyofunguliwa na mwekezaji wa Oysterbay Villa Limited na kuwa kuanzia sasa mmiliki wa eneo hilo atamaliza mkataba wake baada ya miaka 40. Mkataba huo ambao...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo22 Nov
Serikali yashinda kesi za uchaguzi
SERIKALI ilishinda kesi zote zilizofunguliwa na wagombea dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wasimamizi wa uchaguzi ambapo kesi hizo ni kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
JS Kabylie yashinda kesi dhidi ya Caf
5 years ago
MichuziKATIBU MKUU CHRISTOPHER KADIO, APOKEA TAARIFA YA UKAGUZI MRADI WA DAR CITY UNAOHUSISHA UJENZI WA NYUMBA ZA MAAFISA WA POLISI OYSTERBAY, KIJITONYAMA NA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Kesi ya Mweka Hazina Kinondoni yapigwa kalenda
KESI ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili Mweka Hazina Manispaa ya Kinondoni, Alferd Mlowe, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Tanga imeahirishwa hadi Machi 11 mwaka huu. Mlowe aliyetokea Halmashauri...
10 years ago
VijimamboNSSF Yashinda Bonanza la Pasaka Zanzibar Mpira wa Miguu Netiboli Yashinda ZSSF
5 years ago
Daily Mail05 Mar
Aston Villa given approval by Premier League to go ahead with sale of Villa Park
5 years ago
Daily Mail10 Mar
Leicester 4-0 Aston Villa: Foxes savage sorry Villa after Pepe Reina horror show
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Breaking News: Kesi ya kupinga bomoabomoa Kinondoni yasogezwa mbele hadi saa 8 mchana
Baadhi ya wananchi ambao wamekumbwa na wengine wakiwa bado hawajafikiwa na bomoabomoa hiyo wakiwa wamekaa nje ya mahakama kuu ya ardhi kusubiri hatma yao
Modewjiblog team
Kesi ya kupinga kubomoa nyumba katika mabonde ya Kinondoni ambayo ilikuwa isikilizwe jana jumatatu na kuhairishwa hadi leo jumanne, januari 5 imehairishwa kwa muda kusikilizwa hadi saa nane mchana.
Tayari magari ya Polisi ya washawasha na vikosi vya ulinzi vimetanda nje ya mahakama kuu ya ardhi kwa ajili kuhakikisha...
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Breaking News: Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni lasitishwa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa
Baadhi ya wakazi wa mabonde ya Kinondoni wakiwa katika maeneo ya Mahakama Kuu ya Ardhi
Modewjiblog team
Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni limesitishwa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa katika mahakama kuu ya ardhi.
Jaji wa mahakama kuu ya ardhi amemtaka wakili wa walalamikaji kuwasilisha mapema orodha ya walalamikaji wote 674 na majina yao kamili,anuani za makazi na nyumba zao na kisha shauli hilo litafikishwa Jumatatu, 11 January kwa ajili ya kupangiwa tarehe ya...