Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipaumbele kiwe ni kuboresha teknolojia

Dunia haitasahau mkutano wa maendeleo wa kimataifa kwa viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa (UN). Mkutano huo, uliofanyika mwaka 2000 na kupewa jina la Millenium Development Summit, ulikutanisha viongozi wa nchi 189 chini ya UN.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbinu sita za kukifanya kilimo kiwe na tija, kiwavutie Watanzania wengi

Kwa muda mrefu sekta ya kilimo imekuwa ikizungumziwa kuwa ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, kwa kuwa ndiyo imeajiri asilimia 80 ya wananchi wote.

 

10 years ago

Michuzi

AFRICAN BARRICK YASAINI MKATABA WA KUENDELEZA NA KUBORESHA CHUO CHA MUHIMBILI ILI KUBORESHA TAALUMA YA UDAKTARI

Kampuni ya African Barrick Gold (ABG) imesaini mkataba wa miaka miwili (MoU) na Chuo Kikuu cha Afya cha Muhimbili (MUHAS) idara ya Mazingira na Afya bora kazini(Environmental and Occupational Health Sciences) ili kuboresha taluma za madaktari.
Ushirikiano huu utawezesha wanafunzi wa idara hiyo kupata nafasi za kwenda kufanya masomo kwa vitendo yani (field practise) kwenye ofisi na migodi ya kampuni ya ABG, pia pesa hizo zitatumika kwenye kukarabati majendo na utoaji wa vifaa...

 

11 years ago

Habarileo

‘Kila kituo cha afya kiwe na chumba cha upasuaji’

MGANGA Mkuu wa Serikali, Dk Donan Mbando, amesema kila halmashauri nchini inapaswa kujenga vyumba vya upasuaji katika vituo vyote vya afya.

 

9 years ago

GPL

U.T.I; JANGA LISILOPEWA KIPAUMBELE

Imekuwa ni kawaida kuambiwa fulani anaumwa U.T.I na watu wanachukulia ni suala la kawaida kutokana na kuwakumba watu wengi na ikumbukwe kuwa ugonjwa huu hushambulia zaidi akina mama kuliko wanaume. Leo tutaanza kuangalia maradhi hayo. Tatizo la maambukizi ya njia ya mkojo (Urinary Tract Infections) au kwa kifupi U.T.I kama ilivyozoeleka kwa wengi. Kwa kiasi kikubwa, labda na hata wewe msomaji pengine ni zaidi ya mara moja umewahi...

 

9 years ago

Global Publishers

U.T.I janga lisilopewa kipaumbele-3

m_jpg120003faTULIANZA kupeana ufahamu juu ya maambukizi katika njia ya mkojo yaani U.T.I na tuliangalia chanzo na wiki jana tuliangalia dalili za ugonjwa huu.
Leo tutaangalia makundi mbalimbali ambayo yapo katika hatari ya kupata maambukizi haya.

Wagonjwa walioingiziwa mpira wa kusaidia kutoa mkojo (Catheter) huwa katika hatari kubwa ya kupata U.T.I. Hii inajumuisha wagonjwa waliolazwa, wenye matatizo ya magonjwa ya fahamu na hawawezi kutoa mkojo, pia wagonjwa waliopooza.

Wagonjwa walio na kinga ya mwili...

 

9 years ago

GPL

U.T.I; JANGA LISILOPEWA KIPAUMBELE-2

Wiki ya jana nilianza kulielezea tatizo la U.T.I (Urinary Tract Infections) na nilieleza kuwa hili ni tatizo la maambukizi katika njia ya mkojo ambalo huwasumbua watu wengi siku hizi. Uambukizi huu unaweza kusababisha maumivu na kukosa raha. Pia nilieleza kuwa U.T.I ni ugonjwa ambao huwaathiri zaidi wanawake ukilinganisha na wanaume na sababu kubwa ikiwa ni ya kimaumbile, ingawa kuna sababu nyingine kama kufanya ngono na historia...

 

11 years ago

Habarileo

Kipaumbele kwenye mpunga, miwa

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza maeneo ya kipaumbele katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, miongoni mwake ikiwa ni kuendeleza mashamba makubwa ya kibiashara kwa mazao ya miwa na mpunga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani