Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOCHA SUPER D AENDEREA KUMWAGA SUMU KWA VIJANA WA KAMBI YA ILALA

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  kushoto akiwaelekeza mabondia jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'upper-cut' wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala iliyopo  Amana CCM, Dar es salaamKocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  kushoto akimwelekeza bondia Lulu Kayage jinsi ya kupiga ngumi kwa kuingia ndani bila woga wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kambi ya mafunzo kwa Vijana yamalizika jijini Dar

Kwaya ya Gracias kutoka Korea ikitumbuiza katika kambi ya Vijana iliyomalizika jana katika viwanja vya mikutano vya Mlimani City.Kambi iyo mwaka huu imefanyika nchini ikijumuisha vijana elfu tatu duniani kote. Mkurugenzi msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na michezo Bi. Esther Riwa akiongea na Vijana mbalimbali baada ya Kuwapa somo kuhusu kuwa na Fikra Chanya ili kujiletea maendeleo na Stadi za Maisha.Vijana hao wameweka kambi katika Viwanja vya...

 

10 years ago

GPL

FRAT ILALA YATOA MAFUNZO YA UKOCHA KWA VIJANA 28

Mwamuzi mstaafu wa Fifa, Omary Abdulkarim akiwaelekeza wanafunzi hao. Wanafunzi wakiwa…

 

11 years ago

Vijimambo

MABONDIA WAZIPIGA MAZOEZINI WAKISIMAMIWA NA KOCHA SUPER D

Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Obago Kamata wakati wa mazoezi yaliyofanyika shule ya uhuru uwanja wa basket yakisimamiwa na Super D Boxing Coach Dar es salaam janaBondia Jumaa Rashid akioneshana ubavu na Juma Biglee wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika uwanja wa shule ya uhuru uwanja wa basket yaliyokuwa yakisimamiwa na Super D Boxing Coach Dar es salaam janaBondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Obago Kamata...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA STANLEY MABESI 'NINJA' AMFAGILIA KOCHA SUPER D


Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa katika picha na pamoja na bondia wa zamani Stanley Mabesi 'Ninja' wa pili kushoto ambaye kwa sasa anaishi nchini Holland mji wa amsterdam wengine ni mashabiki wa mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWSKocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa pamoja na bondia wa zamani Stanley Mabesi 'Ninja' ambaye kwa sasa anaishi nchini Holland mji wa amsterdam Picha...

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA OMARI KIMWERI AMPIGA TAFU YA VIFAA KOCHA SUPER D


Mwanasoka wa kike, Melanie Gines (kushoto) ambaye ni raia wa Hispania na  bondia Omari Kimweri na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakiwa tayari kupanda ndege na kurudi kwao 
Mwanasoka wa kike, Melanie Gines ambaye ni raia wa Hispania (kushoto)  akimkabidhi glove kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati ni  bondia Mtanzania anayefanya kazi zake nchiniAustralia. Omari Kimweri ambaye aliongozana nchini na mwanasoka...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Omog agomea kambi ya nje Azam FC

Dar es Salaam. Kocha mkuu wa Azam FC, Joseph Omog amewasilisha maombi matatu kwa uongozi wa timu hiyo yanayotakiwa kufanywa kwa haraka huku akisema hataki kambi ya nje ya nchi.

 

10 years ago

Vijimambo

KOCHA SUPER D AMZAWADIA BONDIA 'KING CLASS MAWE' VIFAA VYA MASUMBWI

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimkabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kumdunda bondia Cosmas Cheka na kunyakuwa ubingwa wa U.B.O Africa Class kwa sasa anamiliki mikanda miwili ya Africa ukiwemo wa WPBF na U.B.O Africa Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kumdunda...

 

10 years ago

StarTV

UONGOZI SIMBA:Wasubiri ripoti ya kocha Kerr kuhusu kambi.

Klabu ya soka ya Simba inasubiri ripoti ya kocha mkuu wa timu hiyo Dylan Kerr ambayo itaeleza wapi timu hiyo itaweka kambi ya mwisho ya kujiandaa na ligi kuu soka Tanzania bara.

Simba imesema ripoti hiyo itaeleza ni mchezaji gani anatakiwa kusajiliwa miongoni mwa wale waliopo klabuni hapo kwa ajili ya majaribio.

Haji Manara ni Afisa Habari wa Simba amesema baada ya kumaliza mchezo wao dhidi ya URA ambao waliutumia kuwapima baadhi ya wachezaji lakini ripoti ya kocha ndiyo itategua kitendawili...

 

11 years ago

Michuzi

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' aipiga jeki Uhuru Gym

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na baadhi ya mabondia wanaofanya mazoezi katika GYM ya Uhuru uwanja wa Basket, Kariakoo kutoka kushoto ni Atanasi kibwe,Omari Bai, Raymond Mbwago ,Mussa Sindano Vifaa na kocha wa GYM hiyo Mohamed Chipota  Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akikabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi Gloves pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo kwa Kocha wa GYM ya Uhuru uwanja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani