Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha wa Algeria ajiuzulu

Vahid Halilhodzic amejiuzulu licha ya ombi la kibinafsi kutoka kwa rais Abdelaziz Bouteflika akimsihi asijiuzulu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

KOCHA WA ITALIA AJIUZULU DAABA YA TIMU YAKE KUTUPWA NJE BRAZIL #Brazuka

uda mchache baada ya timu yake kuondolewa rasmi kwenye michuano ya kombe la dunia kwa kushindwa kufanya vyema katika mechi za makundi kwa mara ya pili mfululizo katika kombe la dunia, kocha Cesar Prandelli amefanya maamuzi magumu.Italia iliondolewa baada ya kufungwa kwa goli 1-0 na Uruguay katika mechi ya mwisho ya makundi.Baada ya mchezo Prandelli akiwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari alitangaza kujiuzulu kuifundisha timu hiyo.“Nilichagua mfumo fulani wa ukufunzi na ndio sababu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Algeria:Kocha akerwa na swali

Kocha Vahid Halilhodzic amekasirishwa na swali kuhusu wachezaji wake wanaofunga Ramadhan kabla ya mechi na Ujerumani

 

9 years ago

Michuzi

STARS YAWASILI, KOCHA AAHIDI KUFANYA VIZURI KATIKA MCHEZO WAO DHIDI YA ALGERIA

 Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwasili kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo wakitokea Malawi katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 zitakazofanyika Urusi. Katika mchezo huo Stars ililala kwa bao 1 na kufanikiwa kusonga mbele kutokana na mchezo wa awali Stars kushinda bao 2-0 na hivyo kusonga mbele kwa jumla ya mabao 2-1 ambapo itapambana na timu ya taifa ya Algeria. (Picha na Francis Dande) Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars...

 

10 years ago

Vijimambo

KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE

Kocha simba akimpa mkono kocha wa YangaHans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tuBaada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa...

 

10 years ago

StarTV

Prof. Muhongo ajiuzulu.

Waziri wa nishati na madini nchini Tanzania Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu,na kumfanya kuwa afisa wa tatu wa ngazi za juu serikalini kuathiriwa na ufisadi uliokumba sekta ya kawi katika taifa hilo la Afrika mashariki.

Professa Muhongo alitoa tanagazo hilo wakati wa mkutano na vyombo vya habari.

Kujiuzulu kwake kunajiri baada ya kufutwa kazi kwa waziri wa Ardhi na kujiuzulu kwa mwanasheria mkuu ,wote wakiwa wamehusishwa na kutolewa kwa zaidi ya dola milioni 120 kutoka kwa benki kuu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Harry Redknapp ajiuzulu

Harry Redknapp amejiuzulu kazi ya kuifundisha timu ya Queens Park Rangers ya ligi kuu ya England,EPL.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais wa Yemen ajiuzulu

Rais wa zamani wa Yemen, Abd Rabbuh Mansour Hadi akizungumza wakati wa kufunga mashauriano ya kitaifa mjini Sana'a
Rais wa zamani wa Yemen, Abd Rabbuh Mansour Hadi akizungumza wakati wa kufunga mashauriano ya kitaifa mjini Sana'a
Rais wa Yemen Abd Rabbuh Mansour Hadi na baraza lake la mawaziri walielezea kujiuzulu kwao. Hatua hiyo imekuja kufuatia vuguvugu la vita vya kisiasa kati ya Rais na wanamgambo wa Houthi ambao wameshambulia nchi tangu jumatatu.

Msemaji wa serikali ya Yemen mjini Washington, Mohammed Albasha alitangaza Rais wa Yemen aliyekumbwa na matatizo alijiuzulu kupitia mtandao wa kijamii hapo...

 

10 years ago

GPL

IGP KENYA AJIUZULU

IGP David Kimaiyo. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo ametangaza kustaafu leo kutokana na shinikizo dhidi yake ajiuzulu kwa kushindwa kukabiliana na usalama nchini humo. Wakati huohuo Kenyatta amempendekeza Waziri Mkuu mpya wa usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi ya aliyekuwa Waziri wa Usalama wa nchi hiyo, Joseph Ole Lenku. Rais Kenyatta alisema kuwa baada ya mazungumzo na Bwana Kimaiyo alikubali kustaafu...

 

10 years ago

Mtanzania

Jaji Werema ajiuzulu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam,mtanzaniadaily.2indd
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema ambaye ni mmoja wa watuhumiwa katika kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow ametangaza kujiuzulu.
Hatua hiyo ya Werema imekuja wakati Watanzania wakiwa bado wanasubiri uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kuhuau maamizio manane ya Bunge yaliyotokana na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), aliyekagua miamala ya Akaunti ya Tegeta Escrow.
Katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani