Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOICA WAZINDUA MRADI WA UMEME SEKONDARI YA IGOGO MWANZA

  Mkurugenzi wa KOICA nchini, Kim Seung Beom, akizindua mradi wa umeme katika Shule ya Sekondari Igogo, Mwanza. Kulia ni Ofisa Elimu wa Jiji la Mwanza, Asia Matitu. Kim Seung Beom akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi huo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA MWANZA WAKATI WA KUFUNGUA MASHINDANO YA NGAZI YA MKOA YA MICHEZO YA SHULE ZA SEKONDARI TANZANIA (UMISSETA) NSUMBA SEKONDARI TAREHE 23 MEI, 2015

Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kukushukuru Katibu Tawala Msaidizi ambaye ni Afisaelimu wa Mkoa na Viongozi wenzako katika seksheni ya Elimu kwa kunialika kufungua Mashindano haya ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA).

Nimeupokea mwaliko huu kwa furaha kwa vile umenipa fursa ya pekee kuwaona na kuzungumza na hadhara hii ya wanafunzi, Wanamichezo na Walimu wao. Aidha, nitumie fursa hii kuupongeza uongozi wa Nsumba na Jumuia yote kwa maandalizi mazuri ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

UN wazindua mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi, Chamwino Dodoma

ALVARO KUPANDA MTI-2

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akipanda mti kama ishara ya uhifadhi mazingira baada ya kuzindua mradi wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma katika utekelezaji wa moja kati ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri watatu wazindua mradi mkubwa wa kilimo Bagamoyo

Mawaziri watatu wakiongozwa na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza juzi walizindua Mradi wa Kilimo cha Miwa unaotekelezwa na Kampuni ya Agro EcoEnergy (T) Ltd, utakaogharimu Sh.1trilioni wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani.

 

10 years ago

Dewji Blog

ESAURP, FSDT wazindua mradi wa huduma za kibenki kuwezesha wajasiriamali

3

Mkurugenzi wa Ufundi wa Taasisi ya Ukuzaji wa Sekta ya Fedha (FSDT), Sosthenes Kewe akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa kuwajengea uwezo wajasiriamali wadogo na wakati unaofanywa kwa kushirikiana na taasisi ya utafiti wa vyuo vikuu kusini mwa Afrika (ESAURP).

4

Mkurugenzi Mtendaji wa na taasisi ya utafiti wa vyuo vikuu kusini mwa Afrika (ESAURP), Profesa Ted Maliyamkono akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa kuwajengea uwezo wajasiriamali wadogo na wakati unaofanywa kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

UNDP wazindua mradi mkubwa wa maji Noondoto na Elang’atadapash

IMG_4156

Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la wafugaji la Ilkisongo Pastoralists Initiative (IPI) Bw.Mike Olemokoro akiongoza gari ya Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez alipowasili kwenye kijiji cha Elang’atadapash wilayani Longido kuzindua mradi mkubwa wa maji unaofadhiliwa na UNDP.

Na mwandishi wetu

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la...

 

11 years ago

Mwananchi

Sekondari yakabidhiwa mradi wa Sh41 milioni

 Mradi wa gesi inayotumia kinyesi cha binadamu na wanyama wenye thamani ya zaidi ya Sh41 milioni umezinduliwa na kukabidhiwa kwa Sekondari ya Ilasi.

 

10 years ago

Vijimambo

TANAPA WAZINDUA KAMPENI YA KUTANGAZA UTALII WA NDANI JIJINI MWANZA.

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwasili katika viwanja vya Yatch Club jijini Mwanza kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa Ndani.
Baadhi ya Waaandishi wa Habari waliofika kwa ajili ya shughuli hiyo ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa ndani.Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa ndani.Kikundi cha Ngoma cha Bujorwa kikitoa burudani kwa wageni waalikwa.Meneja...

 

10 years ago

Michuzi

Shule ya sekondari Manzese kunufaika na mradi wa Biogas

Meneja Uhusiano wa Jamii Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASA) Bi. Nelly Msuya (wa kwanza kulia) akiwaongoza waandishi wa habari na kujionea sehemu utakapojengwa mtambo wa kuzailsha gesi na zinapojengwa maabara katika shule ya sekondari Manzese. Kushoto ni Meneja wa Mradi wa ujenzi wa mtambo wa nishati endelevu inayohifadhi mazingira (Biogas) kutoka UN-HABITAT Phillemon Mutashubirwa. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Manzese wakishiriki kuandaa eneo ...

 

11 years ago

Habarileo

Mradi wa umeme Nanyumbu wazinduliwa

AHADI ya Serikali ya kuhakikisha inafikisha umeme Wilaya ya Nanyumbu na vijiji vyake , imetekelezwa baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuzindua rasmi mradi wa umeme wilayani humo. Kuzinduliwa kwa mradi huo, kumetengeneza historia mpya ya mji huo, kwani tangu uhuru, ulikuwa ukitumika umeme mbadala wa nishati ya jua na jenereta.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani