Koka alisha Waislamu
MBUNGE wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka ametoa vyakula kwa waumini wa Kiislamu zaidi ya 2,000 wa misikiti 64 ya jimboni humo, ikiwa ni ishara ya kuwatakia heri ya sikukuu Idd...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Koka apiga tafu Polisi Kibaha
MBUNGE wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka, amewataka askari polisi kufanya kazi kwa uadilifu na heshima ili kuendelea kujenga imani kwa wananchi wanaowahudumia. Koka, alitoa wito huo jana wakati akikabidhi msaada...
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Koka asaidia vikundi vya ujasiriamali
MBUNGE wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka, ametumia zaidi ya sh milioni 150 kuwezesha vikundi vya ujasiriamali vilivyopo katika jimbo lake, ikiwa ni pamoja na vikundi vya wanawake na vijana. Koka...
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Silvestry Koka
5 years ago
Michuzi
KOKA AIPATIA JUMUIYA YA WAZAZI KIBAHA MIZINGA YA NYUKI
MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini, Slyvestry Koka, amekabidhi Mizinga kumi ya Nyuki Yenye Thamani ya Shilingi Milioni 1.5 kwa Umoja wa Wazazi(CCM) Kibaha Mjini kwa Ajili ya Mradi wa Ufugaji wa Nyuki.
Akizungumza Wakati wa Makabidhiano Hayo, katika Ofisi za CCM Kibaha Mjini, Jana, Mbunge Koka Aliipongeza Jumuiya Hiyo kwa Kupata Mwenyekiti Mwenye Maono Makubwa ya Kuiendeleza Jumuiya Hiyo kwa Kuitafutia Miradi Mbalimbali.
"Niwapongeze Jumuiya ya Wazazi Kibaha Mjini...
5 years ago
Michuzi
KOKA AKABIDHI BAISKELI 95 ZENYE THAMANI YA MIL.25 PAMOJA NA BARAKOA,NDOO,SANITIZER ZA MIL .3



………………………………………………………………………………………………..
NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA .
MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini, Silvestry Koka, amekabidhi baiskeli 95 zenye thamani ya sh.milioni 25 kwa viongozi wa matawi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimboni humo ,kwa ajili ya urahisishaji wa utendaji kazi.
Aidha Koka ametoa ndoo za Maji,dawa ya kunawia mikono “Sanitizer” na barakoa zenye thamani ya sh.milioni 3 kwa ajili ya kutumika katika Ofisi za Chama za matawi na kata na kuwakumbusha kujihadhari dhidi ya Ugonjwa wa...
10 years ago
StarTV25 Sep
 Waislamu wawakemea wagombea
Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary imeonya baadhi ya viongozi, hususan wagombea wa nafasi mbalimbali, kuacha mara moja kutumia kauli zenye mrengo wa udini katika kusaka nyadhifa ili kuepusha migogoro inayoweza kuibuka na kuwagawa Watanzania.
Taasisi hiyo imesema, kila mwananchi aachwe mwenyewe kuchagua kiongozi amtakaye kwa kuzingatia sera za maendeleo kwenye nyanja nyingine, na si udini ambao unaweza kulisambaratisha taifa na kubomoa misingi ya umoja na mshikamano.
Kwenye maadhimisho ya...
10 years ago
Habarileo15 Nov
Waislamu kuombea nchi
WAISLAMU nchini leo wanaanza kufanya dua maalumu katika viwanja vya Jangwani, kuombea Watanzania kumrudia Mungu na kuwa na hofu na Mungu katika matendo yao.
10 years ago
BBCSwahili16 Apr
Liverpool: hatubagui waislamu
11 years ago
Mtanzania30 Jul
Waislamu watakiwa kulinda amani

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal
MANENO SELANYIKA NA ASIFIWE GEORGE
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Waislamu kote nchini kuhakikisha wanadumisha amani na umoja.
Mbali na kutoa wito huo, Dk. Bilal alilaani mauaji yaliyotokea nchini Palestina na kuwataka viongozi wote duniani kukaa na kujadili namna ya kurejesha amani hiyo.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba, katika ibada maalumu ya Sikukuu ya Idd El Fitri,...