Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


 Waislamu wawakemea wagombea

Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary imeonya baadhi ya viongozi, hususan wagombea wa nafasi mbalimbali, kuacha mara moja kutumia kauli zenye mrengo wa udini katika kusaka nyadhifa ili kuepusha migogoro inayoweza kuibuka na kuwagawa Watanzania.

Taasisi hiyo imesema, kila mwananchi aachwe mwenyewe kuchagua kiongozi amtakaye kwa kuzingatia sera za maendeleo kwenye nyanja nyingine, na si udini ambao unaweza kulisambaratisha taifa na kubomoa misingi ya umoja na mshikamano.

Kwenye maadhimisho ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waislamu kuombea nchi

WAISLAMU nchini leo wanaanza kufanya dua maalumu katika viwanja vya Jangwani, kuombea Watanzania kumrudia Mungu na kuwa na hofu na Mungu katika matendo yao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Liverpool: hatubagui waislamu

Liverpool FC inafikiria kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya shabiki wake sugu ambaye aliwakebehi mashabiki wawili Waiislamu

 

11 years ago

Tanzania Daima

Koka alisha Waislamu

MBUNGE wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka ametoa vyakula kwa waumini wa Kiislamu zaidi ya 2,000 wa misikiti 64 ya jimboni humo, ikiwa ni ishara ya kuwatakia heri ya sikukuu Idd...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waislamu UK:Wapinga mauaji ya C Hebdo

Idadi kubwa ya waislamu nchini Uingereza wanapinga ghasia dhidi ya watu waliochapisha vibonzo vya kumdhalilisha mtume Mohammed

 

10 years ago

BBCSwahili

Wayahudi na Waislamu waungana Norway

Zaidi ya watu 1000 wengi wakiwa waislamu wameunda mviringo na kulizunguka sinagogi nchini Norway kuonyesha umoja wao na wayahudi

 

10 years ago

BBCSwahili

Waislamu taabani,Austria Kunani ?

Wakristu na wayahudi wataruhusiwa kupokea misaada iwapo sheria hiyo itapitishwa lakini Waislamu na Masheikh hawatoruhusiwa

 

10 years ago

GPL

WAISLAMU WAIOMBEA AMANI PALESTINA

Imamu  wa msikiti wa madhehebu ya Shia uliopo Kigogo Post, Hemed Jalala akizungumza jambo.
WAUMINI wa Madhehebu ya Shia wa Msikiti wa Ghadiri uliopo Kigogo Post, jijini Dar es Salaam, leo wamepaza sauti zao kwa ajili ya kuiombea amani nchi ya Palestina na nchi zote za Ukanda wa Mashariki ya Kati. Akizungumza katika Ukumbi wa Habari Maelezo uliopo Posta jijini Dar, Imam  wa msikiti huo, Hemed Jalala, amewataka Watanzania...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waislamu waanza kufunga Ramadhan

Waumini wa kiislamu duniani wameanza kutekeleza ibada muhimu ya saumu ya mwezi mtukufu wa Ramadhan

 

11 years ago

Mtanzania

Waislamu watakiwa kulinda amani

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal

MANENO SELANYIKA NA ASIFIWE GEORGE

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Waislamu kote nchini kuhakikisha wanadumisha amani na umoja.

Mbali na kutoa wito huo, Dk. Bilal alilaani mauaji yaliyotokea nchini Palestina na kuwataka viongozi wote duniani kukaa na kujadili namna ya kurejesha amani hiyo.

Kauli hiyo aliitoa jana kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba, katika ibada maalumu ya Sikukuu ya Idd El Fitri,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani