Kombe la FA sasa rasmi
SASA ni rasmi kuwa Kombe la Shirikisho zamani FA linarejea msimu huu baada ya Kampuni ya Azam Media Limited kusaini mkataba wa miaka minne na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kudhamini michuano hiyo kwa mkataba wenye thamani ya Sh bilioni 3.3.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/--b9lIQ1OleA/U58ak6-uOuI/AAAAAAAFrHI/eUAlg7z4rA4/s72-c/images.jpg)
ANGALIA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA LIVE SASA - PORTUGAL VS GERMANY
![](http://2.bp.blogspot.com/--b9lIQ1OleA/U58ak6-uOuI/AAAAAAAFrHI/eUAlg7z4rA4/s1600/images.jpg)
KUANGALIA MTANANGE HUU LIVE MTANDAONI BOFYA HAPA
Angalizo: Cheki ratiba hapo chini kujua muda na mechi zitazochezwa badae
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0OEO8xNyy3w/VVL5L-VXfkI/AAAAAAAHW94/o-wT5XCMOos/s72-c/unnamed%2B(37).jpg)
Mashindano ya kombe la Muungano Mufindi 2015 yaanza rasmi
Mashindano ya kombe la Muungano Mufindi yaliyofunguliwa na Naibu Waziri Mhe. Juma Nkamia, tarehe 10 mwezi huu katika uwanja wa shule ya msingi lgowole, Mufindi, yanaendelea vyema. Kwa mujibu wa mratibu wa michuano hiyo, Daud Yassin. Mashindano hayo yatakamilika tarehe 7 mwezi juni. Yassin kwa sasa anajitahidi kutafuta wahisani wa kuchangia zawadi za washindi, ambapo bingwa atapata cash ya shilingi milioni 5, mshindi wa pili 2.5m na mchezaji bora laki 5. Yassin amewaomba wadau wa michezo,...
10 years ago
MichuziTFF YATANGAZA RASMI RATIBA YA MASHINDANO YA KOMBE LA WANAWAKE TAIFA
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/LIPUMBAS.jpg)
LIPUMBA SASA RASMI CCM
Richard Manyota na Oscar Ndauka SIKU chache baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Haruna Lipumba kujiuzulu wadhifa wake huo, sasa mwanasiasa huyo mtaalamu wa mambo ya uchumi ametajwa waziwazi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Uwazi Mizengwe ya Uchaguzi limedokezwa....Soma zaidi====>http://bit.ly/1UH6HT2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mJm3snXM0mwzcilLs5b5ByVb-jOB5XMbfDbD2pKsckPZczQl1X0YldCPIPTlYaV3y7eaGvtzXD87GWlebOj6VPirpLWE7kw5/frontuwaziMizengwe1.jpg)
LOWASSA SASA RASMI UKAWA
Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa (kulia) akiwa na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu wakiwa katika mazungumzo walipokutana hivi karibuni jijini Dar. BAADA ya vuta nikuvute katika vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuhusu kukubaliwa au kutokubaliwa kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa kujiunga na umoja huo, hatimaye mwanasiasa huyo maarufu nchini amekubaliwa...
10 years ago
MichuziTIMU YA MUCOBA FC MABINGWA WA FAINALI YA KOMBE LA MUUNGANO MUFINDI 2015,MRATIBU ATANGAZA KUSTAAFU RASMI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
Mwananchi19 Jul
Kambi ya Lowassa sasa rasmi Chadema
Sasa ni rasmi kwamba kambi ya aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Edward Lowassa imeamua kuachana na chama hicho baada ya madiwani 18 kutangaza kuhamia Chadema, huku mratibu wa wanachama wanaomuunga mkono kada huyo wa CCM kuamua kujiunga na vyama vinavyounda Ukawa.
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
Ni rasmi sasa Costa ataichezea Chelsea
Aliyekuwa mshambulizi wa Atletico Madrid na Uhispania Diego Costa sasa atavalia jezi ya Chelsea msimu ujao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania