Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KRC YAADHIMISHA MIAKA 75 YA KANISA LA T.A.G HAPA NCHINI

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kinondoni Reviral Church,Dr. Roghatte Swai akimtambulisha moja ya wachungaji waliohudhuria sherehe za Miaka 75 ya uwepo wa kanisa la TAG hapa nchini,ambazo ziliambatana na sherehe za wanaume kanisani hapo.Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kinondoni Reviral Church aliyevaa tai nyekundu, akiwa katika picha ya pamoja na wageni mbalimbali waliohudhulia sherehe hizo za miaka 75 ya uwepo wa kanisa la TAG hapa nchini, sherehe ambazo pia ziliambatana na zoezi la kutoa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia Maiuaji ya Kimbari nchini Rwanda (UN-ICTR) Yaadhimisha Miaka 20

Mahakama ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia mauaji ya Kimbari ya nchini Rwanda mwaka 1994 juzi iliadhimisha miaka 20 tokea ianzishwe. Maadhimisho hayo yalihusisha maonyesho ya kazi zake pamoja na mikutano. Siku ya mwisho Makamu wa Rais wa Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal alikuwa mgeni wa heshima. Mhakama hiyo inamaliza kazi zake mwakani. Chini hapo ni baadhi ya picha za shughuli hiyo.  Mpiganaji Danford Mpumilwa, ambaye ni Afisa Habari wa Mahakama hiyo akisoma hotuba ya Wafanyakazi wa...

 

9 years ago

MillardAyo

Hapa ndipo usajili wa Mbwana Samatta wa kujiunga na KRC Genk ya Ubelgiji unapocheleweshwa …

Bado ni headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kuchukua nafasi. Samatta ambaye anatajwa kukaribia kujiunga na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji bado hajasaini mkataba na klabu hiyo licha ya yeye  na Genk kukubaliana maslahi binafsi. January 4 stori […]

The post Hapa ndipo usajili wa Mbwana Samatta wa kujiunga na KRC Genk ya Ubelgiji unapocheleweshwa … appeared first on...

 

9 years ago

Vijimambo

WATUMISHI WANAWAKE WA KRISTO WA KANISA LA TAG NCHINI WAADHIMISHA MIAKA 50 TANGU KUANZISHWA KWA CHAMA CHAO

 Makamu Mstaafu wa wanawake wa watumishi wa Kristo (WWK) Taifa  Bi. Eshimendi Roghat Swai akihubiri katika maadhimisho ya miaka 50 ya chama cha wanawake hao toka kuanzishwa ndani ya kanisa la Tanzania Assembless Of God (TAG) yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.Picha na John Banda. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Luteni Mstaafu Chiku Gallawa ( wa pili kutoka kushoto) akiwa pamoja na Baadhi ya viongozi wa Kanisa hilo katika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prolife yaadhimisha miaka 20

SHIRIKA la Kutetea Uhai wa Binadamu (Prolife), limeanza maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa kutoa elimu ya uzazi wa mpango kwa njia asili. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam,...

 

5 years ago

CCM Blog

ZIMBABWE YAADHIMISHA MIAKA 40 YA UHURU

           Imetimia miaka 40 leo (18.04.2020) tangu bendera ya Uingereza iliposhushwa nchini Zimbabwe, na ya taifa jipya huru ikapandishwa kuashiria uhuru wa nchi hiyo, miongoni mwa chache zilizokuwa zikibakia chini ya ukoloni.Miongo minne tangu siku hiyo ya uhuru, Wazimbabwe wengi wanasema hakuna cha kusherehekea, kufuatia miaka mingi ya utawala wa kikandamizaji wa Rais Robert Mugabe.

Kawaida maelfu ya raia wa Zimbabwe hushiriki katika hafla za kuadhimisha sikukuu ya uhuru kila tarehe 18...

 

11 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini yaadhimisha miaka 3

Maelfu ya wananchi nchini Sudan Kusini wamejitokeza kushuhudia gwaride la kijeshi katika sherehe za kuadhimisha miaka mitatu tangu kujipatia uhuru.

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania Bara yaadhimisha miaka 53 ya kuzaliwa

Rais Jakaya Kikwete akisalimia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika sherehe hizo katikauwanja wa Uhuru, jijini Dar bes Salaam.AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete leo amewaongoza Watanzania katika kuadhimisha miaka 53 ya kuzaliwa Tanzania Bara.

 

10 years ago

GPL

KONGOWE JOGGING YAADHIMISHA MIAKA MITANO

Mmoja wa washiriki wa Kongowe jogging akiwa kashika bendera ya taifa kama ishara ya uzalendo. Mbunge wa Kigamboni, Mhe. Faustine Ndugulile (mwenye jezi ya bluu) pamoja na viongozi wengine wa serikali kutoka Jimbo la Kigamboni wakiongoza…

 

10 years ago

Michuzi

BENKI M YAADHIMISHA MIAKA 8 TOKA ILIPOANZISHWA

Benki M yaadhimisha miaka 8 toka ilipoanzishwa, pichani ni naibu mkurugenzi mkuu wa Benki M Bi. Jaqueline Woiso katika mkutano na waandishi wa habari wikiendi hii katika ukumbi wa hoteli ya Hyatt Regency, kuelezea mafanikio waliyopata katika kipindi hicho cha miaka 8 , kulia ni mkurugenzi wa mawasiliano wa benki hiyo Bw. Allan Msalilwa. BANK M Tanzania plc leo inatimiza miaka 8 toka ilipoanzishwa July 27, 2007. Akiongea na waandishi wa habari, Naibu mkurugenzi mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani