KUAGA DUNIA RAMADHAN ABDALLAH; NEMBO YA JIHADI YA PALESTINA
Ramadhan Abdallah Shalah, Katibu Mkuu wa zamani wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 62 kutokana na maradhi ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.Palestina haina upungufu wa shakhsia wabunifu, wema, waasisi na wanajihadi katika historia ya nchi hiyo. Mmoja wa shakhsia hao ni Dakta Ramadhan Abdallah Shalah ambaye amekuwa na nafasi muhimu katika mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel unaoikalia kwa mabavu Quds Tukufu.Dakta Ramadhan Abdallah...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLWAZIRI ABDALLAH KIGODA AMEFARIKI DUNIA
11 years ago
Michuzi01 Jun
DR LIKY ABDALLAH AIBUKIA MICHUZI TV KUCHAMBUA KOMBE LA DUNIA BRAZIL
10 years ago
BBCSwahili25 Oct
24 wahofiwa kuaga dunia Zambia
10 years ago
BBCSwahili25 Jun
Alioa siku 3 tu kabla ya kuaga dunia
11 years ago
Michuzi16 Jun
11 years ago
MichuziKuelekea Kombe la Dunia...Mahojiano na Halifa Ramadhan kutoka Brazil
Photo Credits: EyesOnNews.com Siku chache kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia la Soka huko Brazil, mambo mengi yamekuwa yakizungumzwa kuhusu maandalizi ya michuano hiyo. Kuna malalamiko na maandamano nchini humo ambavyo kwa hakika vinaleta taswira isiyo njema kuhusu maandalizi ya michuano hiyo Kutaka kujua mengi, Kwanza Production imefanya mahojiano na Halifa Ramadhan. Mtanzania mwenye maskani yake nchini Brazil ambaye amezungumzia mengi kuhusu maandalizi ya fainali za...
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
UN wakishirikiana na Ubalozi wa Palestina wafanya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mshikamano na watu wa Palestina
Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Abdallah Kilima (katikati), Kaimu Balozi wa Palestine Derar Ghannam (kulia) pamoja na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohammed Ali wakikata utepe kwa ajili ya maonesho ya picha za matukio mbalimbali yanayoendelea nchini Palestina hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na watu wa Palestina yaliyofanyika katika Chuo cha Diplomasia, Kurasini...
5 years ago
BBCSwahili17 May
Du Wei: Balozi wa China Israel anayedaiwa kuaga dunia akiwa usingizini
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI ABDALLAH ULEGA ATOA POLE KWA FAMILIA 21 AMBAZO NDUGU ZAO WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI MKURANGA