Kulikuwa na sababu gani ya kuanzisha Ewura?
>Mara kwa mara nimekuwa nikijiuliza sababu hasa ya kuanzishwa kwa baadhi ya mamlaka zinazodhibiti ubora, ushindani na kutetea uchumi na masilahi ya mlaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 Oct
Kimya hiki Tanesco kwa sababu gani?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RuWbev-xAt8JOWYH*2QzHqULqrczY2cTkdyS0lJKMUhqFz9Rg-cE2jJFBpnzpe*o6DssmOLFnoQgOcJGwwDFZncTvV721K8a/Supermarket2.jpg?width=750)
10 years ago
Raia Tanzania06 Jul
Ewura yakamilisha kanuni
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imesema kuwa imetayarisha na kukamilisha kanuni ndogo za uendeshaji wa biashara ya mafuta nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na mamlaka hiyo, kanuni hizo ndogo ni za uendeshaji wa biashara ya mafuta ya vilainishi (lubricants).
“Kanuni hizo zipo tangu mwaka 2014 na zilichapishwa kwenye gazeti la serikali namba 64/2014,” inasomeka taarifa hiyo iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu...
10 years ago
TheCitizen03 Mar
There might be oil theft, says Ewura
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Masebu aaga EWURA
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Haruna Masebu, amewaaga rasmi Watanzania na wanahabari baada ya kutumikia mamlaka hiyo kwa miaka minane. Masebu alitumia...
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Ngamlagosi Mkurugenzi Mkuu Ewura
WAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, amemteua Felix Ngamlagosi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), kuanzia Februari mosi mwaka huu. Ngamlagosi anachukua...
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-1dOdOmcRW2E/VOhlCqrkWmI/AAAAAAAHE88/C-bBfdDZ2nc/s1600/New%2BPicture%2B%282%29.png)
TAARIFA KWA UMMA EWURA
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Masebu astaafu akijivunia EWURA
“NASUBIRI kwa hamu kuona katiba ya mwisho itakuaje halafu niangalie ni fursa gani naweza kufanya baada ya hapo.” Hayo ni maneno ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa...