Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kumbe kinachompagawisha Kavumbagu ni hiki…

Mshambuliaji wa Yanga raia wa Burundi, Didier Kavumbagu. Na Sweetbert Lukonge
INAWEZEKANA ikaonekana kama utani lakini ndiyo ukweli wenyewe kuwa kumbe sababu kubwa inayomfanya mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu kutotaka kuondoka nchini ni kwa kuwa malipo ya wachezaji nchini kwao, Burundi ni madogo zaidi ya yale ambayo wachezaji wa timu za Tanzania wanalipwa. Kavumbagu ambaye mkataba wake wa kuitumikia Yanga umemalizika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?

Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita utakumbuka nilizungumzia suala la kuwajali wapenzi wetu. Niligusia suala ya kuwapa nafasi watuchune. apo walioshituka kuona kichwa kile cha habari lakini kiukweli sikumaanisha kuchuna kule ambako wanawake micharuko hufanya hasa kwa waume za watu, nilimaanisha utayari wa kila mmoja kumsaidia mwenzake kifedha. Mkeo akitaka pesa ili aende saluni kama zipo, mpe! Akihitaji pesa akanunulie vipodozi...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa safu hii. Ni matumaini yangu umzima kabisa na uko tayari kusoma muendelezo wa makala haya ambayo niliianza wiki iliyopita. Maudhui hasa ya makala haya ni kuwatahadharisha baadhi ya watu ambao wanahusudu mapenzi kuliko kitu kingine utadhani wana pepo la ngono. Sikatai, kufanya mapenzi ni kitu muhimu sana hasa kwa watu walioingia kwenye ndoa. Kwa kifupi ni haki ya kila mmoja kuridhishwa na mwenza wake...

 

11 years ago

Mwananchi

Pluijm amsikitikia Kavumbagu

Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amekiri kwamba kuondoka kwa mshambuliaji wake Didier Kavumbagu ni pigo kwa klabu hiyo, lakini amesema ana imani pengo lake litazibwa kikamilifu.

 

9 years ago

Habarileo

Kavumbagu hauzwi- Hall

KOCHA wa Azam FC Stewart Hall amesema hatarajii kumuuza Didier Kavumbagu katika timu yoyote ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki kwa kuwa bado ni tegemeo lao.

 

10 years ago

GPL

Kavumbagu mali ya Yanga

Straika wa Azam FC, Didier Kavumbagu. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
 MAMBO yameiva kwani hadi sasa Yanga ina asilimia 80 za kumsajili straika wa Azam FC, Didier Kavumbagu na kudhihirisha kwamba fedha wakati mwingine inaweza kuwa si lolote katika uamuzi.Kavumbagu amebakiza mwezi mmoja tu kumaliza mkataba wake na Azam aliyojiunga nayo mwaka jana akitokea Yanga, hivyo sasa anarejea nyumbani. Mabosi wa Yanga wameshafanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kavumbagu atua Azam FC

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Azam FC, wamemtwaa mshambuliaji mahiri wa Yanga, Didier Kavumbagu na kumwaga wino kukipiga Azam Complex kwa mwaka mmoja. Kavumbagu alitua Yanga mwaka 2013 akitokea Atletico...

 

11 years ago

TheCitizen

No regrets over leaving Yanga, says Kavumbagu

New Azam FC striker Didier Kavumbagu has no regrets over his decision to decamp to the Mainland champions.

 

10 years ago

GPL

Kavumbagu awapa Yanga siku 30

Mshambuliaji wa kimataifa wa Azam, Mrundi, Didier Kavumbagu. Hans Mloli,Dar es Salaam
ISHU ya usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Azam, Mrundi, Didier Kavumbagu, imechukua sura mpya baada ya kutoa kipindi cha muda wa mwezi mmoja ambapo ni sawa na siku 30, kabla hajajua kama atajiunga na Yanga ama la. Kavumbagu ambaye amekuwa lulu katika kikosi cha Azam tangu atue msimu huu klabuni hapo akitokea Yanga, amekuwa akihusishwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani