Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pluijm amsikitikia Kavumbagu

Kocha wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amekiri kwamba kuondoka kwa mshambuliaji wake Didier Kavumbagu ni pigo kwa klabu hiyo, lakini amesema ana imani pengo lake litazibwa kikamilifu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Professor J amsikitikia Cheka, awataka maceleb kuwa makini

Msanii mkongwe wa Hip Hop, Joseph Haule aka Professor J, amesema yeye ni mmoja wa watu waliosikitishwa na hukumu ya miaka 3 jela aliyopata bondia Francis Cheka baada ya kupatikana na hatia za kumshambulia meneja wake. Professor ameiambia Bongo5 kuwa mastaa wanatakiwa kuwa makini kwenye jamii kwa kuwa mara nyingi wakikosa wanahukumiwa kama mfano ili […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kavumbagu atua Azam FC

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Azam FC, wamemtwaa mshambuliaji mahiri wa Yanga, Didier Kavumbagu na kumwaga wino kukipiga Azam Complex kwa mwaka mmoja. Kavumbagu alitua Yanga mwaka 2013 akitokea Atletico...

 

10 years ago

GPL

Kavumbagu mali ya Yanga

Straika wa Azam FC, Didier Kavumbagu. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
 MAMBO yameiva kwani hadi sasa Yanga ina asilimia 80 za kumsajili straika wa Azam FC, Didier Kavumbagu na kudhihirisha kwamba fedha wakati mwingine inaweza kuwa si lolote katika uamuzi.Kavumbagu amebakiza mwezi mmoja tu kumaliza mkataba wake na Azam aliyojiunga nayo mwaka jana akitokea Yanga, hivyo sasa anarejea nyumbani. Mabosi wa Yanga wameshafanya...

 

9 years ago

Habarileo

Kavumbagu hauzwi- Hall

KOCHA wa Azam FC Stewart Hall amesema hatarajii kumuuza Didier Kavumbagu katika timu yoyote ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki kwa kuwa bado ni tegemeo lao.

 

11 years ago

Mwananchi

Kavumbagu, Tambwe wana kazi

Mombasa. Kukosekana kwenye michuano ya Chalenji na Chan huenda kukawagharimu mastraika Didier Kavumbagu wa Yanga na Amissi Tambwe wa Simba

 

10 years ago

GPL

Kavumbagu awapa Yanga siku 30

Mshambuliaji wa kimataifa wa Azam, Mrundi, Didier Kavumbagu. Hans Mloli,Dar es Salaam
ISHU ya usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Azam, Mrundi, Didier Kavumbagu, imechukua sura mpya baada ya kutoa kipindi cha muda wa mwezi mmoja ambapo ni sawa na siku 30, kabla hajajua kama atajiunga na Yanga ama la. Kavumbagu ambaye amekuwa lulu katika kikosi cha Azam tangu atue msimu huu klabuni hapo akitokea Yanga, amekuwa akihusishwa...

 

11 years ago

Mwananchi

USAJILI: Kavumbagu asaini Azam

>Harakati za usajili jana zilishika kasi wakati klabu ya Yanga ilipopata ‘pigo la mwaka’ baada ya mtikisaji wake nyavu, Didier Kavumbagu (pichani) kutia wino kwenye fomu za mabingwa wapya wa soka nchini, Azam FC.

 

11 years ago

TheCitizen

No regrets over leaving Yanga, says Kavumbagu

New Azam FC striker Didier Kavumbagu has no regrets over his decision to decamp to the Mainland champions.

 

10 years ago

Mwananchi

Kavumbagu: Uwanja ulitukwamisha Tanga

Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbagu amesema walihitaji ushindi wa zaidi ya bao moja dhidi ya Coastal Union ila walikwamishwa na uwanja mbovu wa Mkwakwani na kushindwa kuonyesha kiwango chao cha juu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani