Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUMBE NA MIMI NINA PRESHA YA KUPANDA

Hakika wiki hii ndio nimegundua kuwa kumbe na mimi nina presha. Ungeniambia kuwa mimi nilikuwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo wiki mbili zilizopita, ningekukatalia na pengine ningeanzisha ngumi kukuonesha tu kuwa niko fiti, au labda ningepiga pushap kama kumi za harakaharaka ujue kuwa niko safi. Lakini wiki hii nimegundua kumbe hali siyo kamili. Jumapili niliamka alfajiri, kwa furaha nikaoga nikawa narukaruka na kuimba nyimbo za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA: AWALI NILIJUA NINA UJAUZITO KUMBE SIYO

Stori:  Na Makogoro Oging’
Mama mmoja mkazi wa Kijiji cha Kipanga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Flora Samweli Luvinga (24) hali yake ipo hatari baada ya kuvimba tumbo na kumsababishia maumivi makali.“Awali nilidhani ni mimba baadaye nikajua kuwa kumbe siyo bali ni ugonjwa ambao unanipa mateso kwa muda mrefu, sasa sijui hatima ya maisha yangu hapa duniani,” alisema Flora. Flora Samweli Luvinga (24)...

 

10 years ago

Mwananchi

Mimi ni waziri, nina haki zangu, ajitetea Wasira

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira amesema yeye ni waziri na ana haki zake, baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kumtaka aachie nyumba anayoishi ya Bodi ya Sukari kwa kuwa haimuhusu kwa sasa.

 

10 years ago

CloudsFM

Kumbe Dully alipata taarifa za kifo cha baba yake akijiandaa kupanda stejini kufanya shoo

Habari zinasema kuwa msanii wa Bongo Fleva,Dully Sykes alipata taarifa za msiba wa baba yake wakati akijiandaa kupanda stejini kwenye shoo moja iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii maeneo ya Mbezi Luis,jijini Dar.

Kwa mujibu wa muandaaji wa shoo hiyo aitwaye Ney Steve alipost picha kwenye mtandao wa Instagram akimbembeleza Dully baada ya kupata taarifa hizo hivyo kushinda kupanda jukwaani. Picha hiyo iliambatana na maneno haya.. ney_steve Wakat unapanga lako Mungu nae anapanga lake.....Leo...

 

10 years ago

GPL

JB PRESHA YAPANDA

ISHU! Wakati Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ikikutana leo mjini Dodoma kupitia na mwishowe kukata majina ya wagombea wanaowania kuteuliwa kwa nafasi ya Urais katika uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, presha ya muigizaji Jacob Stephen ‘JB’ imepanda, kwa hofu ya kutokea tafrani miongoni mwa wanachama wa chama hicho. Muigizaji maarufu wa Bongo movie , Jacob Stephen ‘JB’ .
Akizungumza na gazeti hili...

 

10 years ago

Mwananchi

Presha tupu,

Ni presha kila kona ndivyo unavyoweza kusema kwa sasa jinsi Ligi Kuu Bara inavyoendelea katika mbio za ubingwa na wale wanaopigania kujinasua na janga la kushuka daraja msimu huu.

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu : Kuhongwa ni Presha Tu!

UBUYU: Mrembo na staa wa Bongo Movies, Elizabeth  Michael, ‘Lulu’ ametoboa kuwa  fedha za kuhongwa na wanaume ni nzuri lakini zina presha kubwa kwa msichana aliyepewa.

Lulu alisema kuwa wasichana walio wengi wanapenda kupokea fedha na vitu mbali mbali kutoka kwa wanaume lakini changamoto kubwa inayowakuta ni namna ya kulipa fadhila ya walivyopewa

" vitu vya kuhongwa ni vizuri lakini vina presha kubwa katika suala la kulipa fadhila kwani msichana unalazimika kufanya kila aina ya ujuacho ili...

 

10 years ago

Habarileo

‘Hatutachagua kwa presha’

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitachagua mgombea wa kiti cha urais kwa presha za wapambe wa wagombea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani