Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA: AWALI NILIJUA NINA UJAUZITO KUMBE SIYO

Stori:  Na Makogoro Oging’
Mama mmoja mkazi wa Kijiji cha Kipanga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Flora Samweli Luvinga (24) hali yake ipo hatari baada ya kuvimba tumbo na kumsababishia maumivi makali.“Awali nilidhani ni mimba baadaye nikajua kuwa kumbe siyo bali ni ugonjwa ambao unanipa mateso kwa muda mrefu, sasa sijui hatima ya maisha yangu hapa duniani,” alisema Flora. Flora Samweli Luvinga (24)...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KUMBE NA MIMI NINA PRESHA YA KUPANDA

Hakika wiki hii ndio nimegundua kuwa kumbe na mimi nina presha. Ungeniambia kuwa mimi nilikuwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo wiki mbili zilizopita, ningekukatalia na pengine ningeanzisha ngumi kukuonesha tu kuwa niko fiti, au labda ningepiga pushap kama kumi za harakaharaka ujue kuwa niko safi. Lakini wiki hii nimegundua kumbe hali siyo kamili. Jumapili niliamka alfajiri, kwa furaha nikaoga nikawa narukaruka na kuimba nyimbo za...

 

10 years ago

Vijimambo

KUMBE UJAUZITO WA AUNTY EZEKIEL NI WA HUYU JAMAA!


Kwa siku za nyuma uliwahi kusikia kwamba Msanii wa bongo movie Aunty Ezekiel aliwahi kulala na Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz sasa kwa taarifa zilizopo ni kwamba ndiye mmiliki wa mimba ya Aunty Ezekiel, Mose Iyobo.Kupitia instagrm ya Mose Iyobo alipost picha hii hapa chini na kuandika hivi;‘Lazima tujifunze kutofautisha kati ya kitambi na mimba lakini hapa kuna utata…..mimi ni mmoja kati ya wasio elewa hiki ni nini….au wewe ulikuwa unaonaje hiki ni kitambi au mimba….. na...

 

10 years ago

Mwananchi

Kumbe ‘zimamoto’ siyo kwenye mitihani tu

Habari zenu wanadarasa huru. Ni juma lingine tena tunakutana kufahamishana mambo mbalimbali. Karibuni katika safu hii.

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA MWANASIASA MAARUFU; KUMBE SIYO KOMBA

Stori:GLADNESS MALLYA NA CHANDE ABDALLAH/Risasi
HUKU maelfu ya Watanzania wakiamini kwamba, kifo cha aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), Kapteni John Damiano Komba ndiyo kile kilichotabiriwa na mnajimu Maalim Hassan Hussein Yahya, mwenyewe ameibuka na kusema sicho! Marehemu Kapteni John Damiano Komba.…

 

11 years ago

GPL

MAMA: HUU SI UJAUZITO JAMANI, TUMBO LIMEJAA MAJI

Na Haruni Sanchawa “MWANANGU dunia hii, hujafa hujaumbika. Kama huamini maneno hayo ya wahenga amini kupitia kwangu,” ndivyo alivyoanza kusema Mariam Manyata (57) mwenyeji wa Mkoa wa Manyara ambaye yupo Hospitali ya Taifa Muhimbili akisumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa maji. Mwanamke huyo aliyebahatika kupata  watoto watano wa jinsia ya kike, anasumbuliwa na ugonjwa huo kwa miaka mitano sasa huku madaktari...

 

9 years ago

Bongo5

Tunda Man kuelezea kwa wimbo jinsi alivyomtesa mama yake wakati wa ujauzito wake

Tunda Man anatarajia kuachia wimbo mpya ‘Mama Kija’ utakaoelezea jinsi alivyomtesa mama yake wakati wa ujauzito. Tunda ameiambia E-Newz ya EATV kuwa ameamua kuandika wimbo huo ili kuonyesha jinsi gani mama yake alivyoteseka kwaajili yake. “Napata hongera nyingi kutoka kwa watu wangu kwa sababu wanahisi mke wangu ni mjamzito,” alisema msanii huyo. “Lakini kitu ambacho […]

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI SAMPULI ZA MADAWATI KWA SHULE ZA MSINGI MADARASA YA AWALI LINDI MJINI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na binti Naida Seleman anayesoma darasa la awali katika Shule ya Msingi ya Rahaleo mara baada ya Mama Salma kukabidhi sampuli za madawati aliyoyatoa kwenye Shule za Manispaa ya Lindi Mjini tarehe 15.12.2014.Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akikabidhi sampuli za madawati yaliyotolewa na Taasisi ya WAMA kwa Afisaelimu wa Mkoa wa Lindi Ndugu Gift Kyando kwa ajili ya Shule za Msingi zenye madarasa ya awali katika Manispaa ya Lindi...

 

9 years ago

Michuzi

watoto wa shule ya awali ya Genesisi wapata mafunzo ya awali ya kuzima moto

 Mkaguzi Msaidizi Idd Chanyika wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka Mkoa wa Zimamoto Ilala akielekeza watoto kutoka shule ya awali ya GENESIS waliotembelea kituoni hapo jana tarehe 12 Oct, 15 jinsi ya kutumia vazi la kujikinga na sumu pamoja na bacteria hatari.             Mkaguzi Msaidizi Idd Chanyika wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akielekeza watoto wa shule ya awali GENESIS jinsi ya kukabiliana na moto wa hatua ya awali, mafunzo yaliyofanyika katika kituo cha Zimamoto na Uokoaji Ilala...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mama apikia watoto wake mawe kwasababu ya kukosa vibarua alivyokuwa akifanya awali

Mjane mmoja nchini Kenya amepikia watoto wake mawe kuwadanganya kwamba chakula kinaiva.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani